Ngwasa Omuyaya
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 2,629
- 2,733
Chaga hy hamna tofauti na Joyce kiriaAnatafuta kiki msije mkamsahau!
Hili limama ni tahira pase walahi
Msimsahau huyo ni mchaga, Joyce kiriaHiyo ni kiki au kwikwi. Watu walinyamaza na kujizuia kushutumu wakimhurumia na kuweka ubinadam mbele. Sasa kwa hizi sarakasi atakipata anachokitafuta.
Nduguye na Joyce kiriaHuyu mwanamke ni mpum.bavu dunia nzima. Duuuh. Kweli kuwa na akili ni fadhila za Mungu
yeah ndo hivoNaendelea kumpa Pole MunaLuv kwa mitihani aliyopitia,kwasisi watu tuliopitia mafunzo ya saikolojia/forensic na ubashiri uliotukuka kwa maelezo ya muna ambayo hajaweka wazi,inaonekana Peter Zakaria alikuwa anakula Ndugu wa Muna na ndio kisa kilichomfanya atengane nae.
Hivi ina maana hujui hata viblog uchwara kama vya kina Le Mutuz nao wakituma mtu sehemu anajiita muandishi wa habari?Hao waandishi wa habari walikosa kazi ya kufanya i think
Sasa inasaidia nini kutangaza siri za ndoa yake?!
Kama ameokoka ukweli wake akatubu huko kanisani.
Hapa anampa nani faida?!
Tatizo Promo, Kick ya msiba imeisha hamjampa dill sasa anawakumbusha yupo, nu kama Tumbili Kafulila na Tbc.Wamwache mtoto wa watu apumzike zake, ameshatangulia mbele ya haki.
Kwa sasa waendelee na mambo mengine.
Kunyamaza ingekua uamuzi bora kuliko kitu kingine.
Tatizo Promo, Kick ya msiba imeisha hamjampa dill sasa anawakumbusha yupo, nu kama Tumbili Kafulila na Tbc.
HahahahaWe subiri hata kwenye huu uzi utaona rasharasha na cheche zitakavyotoka.
Wewe tangu uzaliwe ulishawahi kuona ndoa ya miezi miwili?Nanukuu; walikutana na Peter huko mbeya ,wakakaa kwenye mahusiano, ndani ya miezi miwili wakaamua kufunga ndoa..
Huko kwenye ndoa alikutana na vitu akaamua kuachika..
Ushauri, katika maisha usikosee kuoa au kuolewa.
Kwahiyo Peter ni baba mlezi na Casto ni baba mzazi, basi sawa haina shida, ila kisheria ni mtoto wa Peter, kibaiolojia ni wa Casto; case closed.
Mimi napigia mstari, wenye akili tumekuelewa.Hakuna mwanamke mjinga kama huyo muna,
Kwanza tu kitendo cha kumgeuza mtoto superstar bila kupenda ni ujinga uliovuka mpaka na haki za mtoto,
No wonder mungu akaamua mtoto apumzike
Hizo ni Interview na kina Le nyenyenye, Shigongo na wapuuzi wenzake wanaofanana interest za kijinga.Cha kushangaza kwenye ile interview sikuona kipaza sauti cha ITV TBC startv au hata clouds....
Mkuu hivi kunguru unaweza kumfuga akatulia kama kuku au bata? Never....Sasa inasaidia nini kutangaza siri za ndoa yake?!
Kama ameokoka ukweli wake akatubu huko kanisani.
Hapa anampa nani faida?!
KwakweliHizo ni Interview na kina Le nyenyenye, Shigongo na wapuuzi wenzake wanaofanana interest za kijinga.