Munalove amvalisha Bobrisky

Munalove amvalisha Bobrisky

Ila kuna interview yake moja ukimsikiliza vzur naona jamaa yuko ki pesa zaid ni mzima kabisa sio shoga maana alisema wanawake anatembea nao
Iweke hapa hiyo interview japokua kutembea na wanawake sio ajabu si shoga zake jamani, lol

Lakini pia kwa faida ya wengine, BobRisky sio Gay ni TransWoman,
Kwenye LGBTQ+ ile T inasimama badala ya TransGender kwa maana kuna TransMan na TransWoman,

Engineer soooooooooooma hiyoooooooo,
😀
 
In short ni choko tu.
 
[emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bebeeeh bhana.
 
Muna huwa anaishi maisha yake hajari kuhusu watu wanasema nini,
Nwei kidampa Boo kapendeza, ila editing inazidi jaman khaaah.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iweke hapa hiyo interview japokua kutembea na wanawake sio ajabu si shoga zake jamani, lol

Lakini pia kwa faida ya wengine, BobRisky sio Gay ni TransWoman,
Kwenye LGBTQ+ ile T inasimama badala ya TransGender kwa maana kuna TransMan na TransWoman,

Engineer soooooooooooma hiyoooooooo,
😀
Hivi ni kwamba transgender wanabadilishwa jinsia kabisa? Yaani huyo hapo amewekewa uchi wa kike na anagegedwa vzr tu na kusikia raha Kama mwanamke wa kawaida?
 
Hapana babe, sio kila Transgender amefanya surgery ya kubadili umbile lake japo yes wapo wanaobadili kama mwanaume kwenda mwanamke na mwanamke kwenda mwanaume na wapo wanaobaki hivyo hivyo lakini wanapenda kua identify kwa vile wanavyojiona wao,

Gender identity inamsaidia mtu kujijua yeye ni nani haihusiani na Sexual orientation,

Mfano wa kwanza, mimi ukiniangalia unaniona ni mwanamke lakini mimi binafsi sijioni kwenye uanamke bali najiona ni mwanaume kwenye umbo la mwanamke kwa maana hiyo nitapendelea kua identify as HE not SHE (hii tunaita Gender Identity)

Mfano wa Pili, Mimi ni Mwanamke lakini ninavutiwa na Wanawake wenzangu napendelea niitwe Lesbian (hii tunaita ni Sexual orientation)

Kuhusu kuhisi raha najua lazima watahisi raha tu 😂
 
Ooh sawa kipenzi, Asante kwa Elimu.
 
Back
Top Bottom