Hapana babe, sio kila Transgender amefanya surgery ya kubadili umbile lake japo yes wapo wanaobadili kama mwanaume kwenda mwanamke na mwanamke kwenda mwanaume na wapo wanaobaki hivyo hivyo lakini wanapenda kua identify kwa vile wanavyojiona wao,
Gender identity inamsaidia mtu kujijua yeye ni nani haihusiani na Sexual orientation,
Mfano wa kwanza, mimi ukiniangalia unaniona ni mwanamke lakini mimi binafsi sijioni kwenye uanamke bali najiona ni mwanaume kwenye umbo la mwanamke kwa maana hiyo nitapendelea kua identify as HE not SHE (hii tunaita Gender Identity)
Mfano wa Pili, Mimi ni Mwanamke lakini ninavutiwa na Wanawake wenzangu napendelea niitwe Lesbian (hii tunaita ni Sexual orientation)
Kuhusu kuhisi raha najua lazima watahisi raha tu 😂