Munalove amvalisha Bobrisky

Munalove amvalisha Bobrisky

Hapana babe, sio kila Transgender amefanya surgery ya kubadili umbile lake japo yes wapo wanaobadili kama mwanaume kwenda mwanamke na mwanamke kwenda mwanaume na wapo wanaobaki hivyo hivyo lakini wanapenda kua identify kwa vile wanavyojiona wao,

Gender identity inamsaidia mtu kujijua yeye ni nani haihusiani na Sexual orientation,

Mfano wa kwanza, mimi ukiniangalia unaniona ni mwanamke lakini mimi binafsi sijioni kwenye uanamke bali najiona ni mwanaume kwenye umbo la mwanamke kwa maana hiyo nitapendelea kua identify as HE not SHE (hii tunaita Gender Identity)

Mfano wa Pili, Mimi ni Mwanamke lakini ninavutiwa na Wanawake wenzangu napendelea niitwe Lesbian (hii tunaita ni Sexual orientation)

Kuhusu kuhisi raha najua lazima watahisi raha tu [emoji23]
Wooooooow babeeeeh.
 
Huwezi kuniambia moto wa mbinguni upo sawa kwa dhambi zote.
Moto haupo sawa mzee baba!! Zipo level tofauti kiasi na level yako ya dhambi apa duniani kuna level ya 1 hadi ya 7 all in all ni mtoto ukiwekwa ndani lazma uskie chuma nikumuomba Mungu atuepushe na moto!!
 
Back
Top Bottom