cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,756
- 5,250
K ipo alifanyia upasuaji wakuwekewa k uyoMashine hiyo, hamna k hapo....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
K ipo alifanyia upasuaji wakuwekewa k uyoMashine hiyo, hamna k hapo....
Heeee kumbe, kwahiyo hapo dakika yoyote anaweza kuitwa mama kijacho...K ipo alifanyia upasuaji wakuwekewa k uyo
Sorry huyo ni mkaka??Dume hilo mzee...ohoo
Ndio..Sorry huyo ni mkaka??
Hee ina maana aling'olewa mkuyenge akawekewa papuchi?? Mbona kama sielewi 😪K ipo alifanyia upasuaji wakuwekewa k uyo
Duh haya sawa mkuu, ila kajifanyaje mbona ni mdada kabisa🙌Ndio..
Tajiri huyo shoga..naona plastic surgery imefanya kazi..Sema picha hiyo editing inaonekana waziwazi imefanyika.Duh haya sawa mkuu, ila kajifanyaje mbona ni mdada kabisa[emoji119]
Gays wengi huwa wana moyo mkunjufu mnoo.Sema Bob sio mchoyo aisee..anajua kutoa misaada sio kidogo
Wooooooow babeeeeh.Hapana babe, sio kila Transgender amefanya surgery ya kubadili umbile lake japo yes wapo wanaobadili kama mwanaume kwenda mwanamke na mwanamke kwenda mwanaume na wapo wanaobaki hivyo hivyo lakini wanapenda kua identify kwa vile wanavyojiona wao,
Gender identity inamsaidia mtu kujijua yeye ni nani haihusiani na Sexual orientation,
Mfano wa kwanza, mimi ukiniangalia unaniona ni mwanamke lakini mimi binafsi sijioni kwenye uanamke bali najiona ni mwanaume kwenye umbo la mwanamke kwa maana hiyo nitapendelea kua identify as HE not SHE (hii tunaita Gender Identity)
Mfano wa Pili, Mimi ni Mwanamke lakini ninavutiwa na Wanawake wenzangu napendelea niitwe Lesbian (hii tunaita ni Sexual orientation)
Kuhusu kuhisi raha najua lazima watahisi raha tu [emoji23]
Acha uongo wee, hajafanya surgery ya jinsia, .K ipo alifanyia upasuaji wakuwekewa k uyo
Hapana, bado ana uume.Heeee kumbe, kwahiyo hapo dakika yoyote anaweza kuitwa mama kijacho...
Ila anavojiedit utasema chooombo ngoja itokee picha yake halisi unaona kabisa jidumeHapana, bado ana uume.
Sasa dea wee hujui mambo ya editing na filters? Mie nachoka hapo kwenye rangi yake ya asili na hii ya pichani. [emoji23][emoji23][emoji23]Ila anavojiedit utasema chooombo ngoja itokee picha yake halisi unaona kabisa jidume
Yessijaelewa kitu ina maana uyo ni mwanaume
Unajifanya kumjua sana uyo mtu haya mjue basiAcha uongo wee, hajafanya surgery ya jinsia, .
Ndio ivo ana hela huyo chafu nasikiaHee ina maana aling'olewa mkuyenge akawekewa papuchi?? Mbona kama sielewi [emoji25]
Mmmmh sijawahi ona transgender aliyeweza kuzaaaHeeee kumbe, kwahiyo hapo dakika yoyote anaweza kuitwa mama kijacho...
Dah kweli dunia uwanja wa fujo kila mtu anafanya analolipenda😪Ndio ivo ana hela huyo chafu nasikia
Moto haupo sawa mzee baba!! Zipo level tofauti kiasi na level yako ya dhambi apa duniani kuna level ya 1 hadi ya 7 all in all ni mtoto ukiwekwa ndani lazma uskie chuma nikumuomba Mungu atuepushe na moto!!Huwezi kuniambia moto wa mbinguni upo sawa kwa dhambi zote.
Unaweza kubadilisha reproductive organs lakini sio reproductive systemMmmmh sijawahi ona transgender aliyeweza kuzaaa