Munalove: Bilionea mwenye utu!

Munalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.
Kwa hiyo ni Elfuonea?
 
Joket hata milion 400 hana , ivi wakuu hela mnazijua zilivyo au mnatania ??
Kwani mi nimesema ni bilionea?

Ila nilikuwa najaribu kumwelimisha mdau

Asifikiri wote wanaoteuliwa ni kwaajili ya mishahara wengineis just for prestige tu.

Mo ni bilionea lkn alikuwa mbunge.
 
Kwani mi nimesema ni bilionea?

Ila nilikuwa najaribu kumwelimisha mdau

Asifikiri wote wanaoteuliwa ni kwaajili ya mishahara wengineis just for prestige tu.

Mo ni bilionea lkn alikuwa mbunge.

hapo sawa mtoto mzuri
 
Hahaha haha I think Huyu ni bilionea wa kwanza duniani hamiliki hata boda boda
 
Munalove huyu ninayemjua mimi huyu leo anaitwa bilionea? Mkuu unamfahamu Munalove au unamuona tu kwenye post za insta? Achilia mbali kuwa Billionea wa tshs hata umilionea usiyozidi 5 mls kuna muda unampa shida kweli kweli.
Hata boda boda hana, kule Mbweni anakokaa mvua ikinyesha inabidi usiingie ndani
 
Sifa moja wapo ya kuwa rais nchini marekani ni lazima uwe bilionea, Trump ni bilionea.

Japo naona unatafuta ulinganifu wa DC wa Tz na rais wa u.s.a huo ni ujinga na kutojitambua

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hiyo sifa in ya kikatiba au kishea?(ya kuwa bilionea)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…