Munalove: Bilionea mwenye utu!

Munalove: Bilionea mwenye utu!

Mbona mimi simjui!!!,Anashugulika na biashara gani?. Anyway Kikubwa namuombea Kila la kheri.
Ana viwanda vingi sana pale bagamoyo na kanda ya ziwa,,anamiliki pia shule ya sekondary na semi trail 100
 
Hivi unajua maana ya bilionea ???

Au umejiandikia tu.. Huyu muna love ambae nina uwakika hata akiuza mali zake zote, pamoja na nguo zake za ndani.. Afiki hata mili 100.. Unamuita bilionea
Bilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation). Nikutakie heri ya mwaka 2021.
PENDEKEZO: Tunaomba anzisha hospitali ya kusaidia watoto (Muna Children's Hospital) ili ufikie wengi
 
Wee binamu nae khaaah, sasa huyo muna nae anajiweza nn? Madeni kila kona mjini aaah.
Usiniangushe ivo bhana, afu nilikumiss moaah.

Binamu raha ya umbea uongeze chumvi , mxieew muna tapel mjin anatumia ulokole kutapel watu
 
Binamu raha ya umbea uongeze chumvi , mxieew muna tapel mjin anatumia ulokole kutapel watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, nilicheka alimtapeli had vicky kamata, ila Muna kibokooo lol.
 
Back
Top Bottom