Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Basi kudanga kuna lipa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biashara ya udangajiMbona mimi simjui!!!,Anashugulika na biashara gani?. Anyway Kikubwa namuombea Kila la kheri.
Acha uongo, Obama ni bilionea?Sifa moja wapo ya kuwa rais nchini marekani ni lazima uwe bilionea, Trump ni bilionea.
Japo naona unatafuta ulinganifu wa DC wa Tz na rais wa u.s.a huo ni ujinga na kutojitambua
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ungejua Trump hapokei mshahara.Hivi Trump ni bilionea kweli au utapeli?
Ana viwanda vingi sana pale bagamoyo na kanda ya ziwa,,anamiliki pia shule ya sekondary na semi trail 100Mbona mimi simjui!!!,Anashugulika na biashara gani?. Anyway Kikubwa namuombea Kila la kheri.
Trump hana hela,,anazidiwa hadi na MO..Ungejua Trump hapokei mshahara.
Bilionea huyu tofauti na wengine ana roho ya kipekee katika kusaidia Wasanii (wanamuziki na waigizaji) pia amekua akisaidia watoto wenye matatizo ya kiafya kupitia taasisi yake (Foundation). Nikutakie heri ya mwaka 2021.
PENDEKEZO: Tunaomba anzisha hospitali ya kusaidia watoto (Muna Children's Hospital) ili ufikie wengi
Muna love ni billionea?
Inaweza kuwa kaandika kiutaniSijui amekua lini billionea
Wee binamu nae khaaah, sasa huyo muna nae anajiweza nn? Madeni kila kona mjini aaah.
Usiniangushe ivo bhana, afu nilikumiss moaah.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa, nilicheka alimtapeli had vicky kamata, ila Muna kibokooo lol.Binamu raha ya umbea uongeze chumvi , mxieew muna tapel mjin anatumia ulokole kutapel watu