Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

Ewaaaaa......kama unakumbuka Peter na Castor walishawahi kuzichapa kumgombea Muna.
Muna aliogopa kutoa siri kama mtoto wa Castor maana alikuwa ndani ya ndoa na Peter
Ukimuona huko huyo munna mwite kwa jina la Rose!
 
Nameza mate kwanza
 
Hapa ngoja nivute pumzi manake dahh, kama ni shuzi lishajambwa, mbwaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…