lady in red10
JF-Expert Member
- Apr 5, 2016
- 209
- 222
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekoma kuringa!Mchambo huo wameupata
Huyo peter wa buluwariz kateseka mno kwa huyo jini Maimuna.Amfungue mwenzie kawa kama taahiraAtaachaje kufanana nae wakati ni mtoto wake?
Swaga za kinyamwezi.
View attachment 335755
Soma btw the lines....
View attachment 335754
Mjini tunanyimana chakula, lakini umbea.....walaaaaa
Jamani Idriss ashanyweshwa kombe....Hichi kiemoro kimejochomeka chomeka hadi kimefika kwa madamu, kipo bize kumtumia madame kupata kiki. Na kumlazimishia mtoto Wa watu idriss hilo gume gume lililoshindikana na shetani.
Ulitegemea kukuta uchambuzi wa kisiasa au habari za uchumi na anga la kimataifa jukwaa hili??Habari zingine kusoma zinachefua tu.
Bonge la gazeti alafu kilichomo ndani ni upuuzi/udaku tu.
We unasema Koleta yule alikuwa anaigiza mdomo anaweka upande kama kapatwa na kiharusi cha adhuhuri?DaJane looh shkamoo da Jane hichi kichambo kuntu, halaf naomba kuuliza hvi huyu munalove ndo coleta ama yule Dada alikua ana igiza hlf ana jiita koleta
Kama mimba kambebesha ya mwanaune mwenzie, kwanini asimuache kaka wa watu?Huyo peter wa buluwariz kateseka mno kwa huyo jini Maimuna.Amfungue mwenzie kawa kama taahira
Aiii...zamaniiiiKwa kashfa ya Castro inabidi Ruge amsimamishe kupisha uchunguzi.
We acha tu.Huu ubuyu imebidi nikaupatie kwanza supu ya ulimi na chapati mbili.
Sio ubuyu tu,bali zaidi ya ubuyu.
Shoga DaJane nimekuvulia kofia,sio kwa kichambo hiki mama....uwiiiiiiiii
Anyways, huyo Muna sionagi cha maana kwake,kwanza kalio lile analoringia kila uchwao nasikia ni fake zone!
Kafupi kama stuli,sikapendi kama nini!
Kumbe ndio maana ushoga wao na Lulu uko hot namna ile?
Kama ndio hivyo jamani mbona Hamisa atakuwa kaanza kuliwa 'vyake' na Lulu kitambo?
Halafu yule Casto jamani namuonaga mstaarabu hana mambo ya wakaka wa mjini kumbe nae yumo?
Nimebaki mdomo wazi....
Sio kwa umbea wa leo!
Aisee,so sadAiii...zamaniiii
Casto alifanya siri, ila Muna akawa anamfata mpaka Casto anamwambia kuwa mtoto wa Pater, Casto akaamua kumwaga mboga.
unaambiwa siku Casto anaenda kumchukua mwanae kwa Peter na Muna, walizichapa Peter na Casto...kugombea mtoto.
Watu wakamtonya Peter aangalie sura, Peter alipogundua akawa mpole.
Sahivi Casto kwa raha zake, kutwa kumrusha Patrick mwanae Insta.
Peter kabaki kuumia tu.
Bora niendelee kuishi huku kwetu songea bomba mbili huko dar hapana,Aiii...zamaniiii
Casto alifanya siri, ila Muna akawa anamfata mpaka Casto anamwambia kuwa mtoto wa Pater, Casto akaamua kumwaga mboga.
unaambiwa siku Casto anaenda kumchukua mwanae kwa Peter na Muna, walizichapa Peter na Casto...kugombea mtoto.
Watu wakamtonya Peter aangalie sura, Peter alipogundua akawa mpole.
Sahivi Casto kwa raha zake, kutwa kumrusha Patrick mwanae Insta.
Peter kabaki kuumia tu.
Aah siwezi bhana naogopa mafao yangu ya kahawa yataliwa na wajanja then nitaishia kumfanya mtu castration without anestethiaNjoo bhana....sie wengine sio akina Muna