Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Uyo muna umaarufu wake unatokana na shughuli gani za kiuchumi hapa mjini? Au mcheza pool table?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na Dida pia.Mhh inabidi tumpigie mizinga 21 baada ya kula ban bcz ya ule Uzi wa wema hahahah jaman kiboko huyu Dada ,tunasubiri siku ya mange
Ati wasema?Daah yaaan da jeni unataka kusema pia mzee mzima mzitoo kabwela kapita hapo mmmmmh mbona hata mm nilipitaga kimya kimya na manzi mwenyewe hata havutii ni ziro work kwa kiwanja
Ndio nyie kujua jina lako elfu 50, unaishi wapi unaniulza una gari gani nzuri ya kutembelea...hayo mambo wanaweza wanaume wenu wa dar 😛 😛 😛Njoo...ila njoo na nguo zako, akili na tabia utazikuta hukuhuku Dar
Haahaaa,hatariMchambo huo wameupata
KabisaTreat ur man as u would like ur son to be treated.....as well treat ur wife as u would like ur dauta to be treated!!
Yanaweza kumrudia hata mtoto wake,au hata kizazi cha 3 na cha NNE....ukiwa na ufahamu Mungu yupo huwez kumuumiza mwenzako
halafu huyu mtoto muna anamuharibu....wenzie wapo kusoma kitoto kitaacha shule mapema hiki yangu macho...ukizaliwa kwa mama asiye na akili ndio basi tena anakuharibia maisha..Ataachaje kufanana nae wakati ni mtoto wake?
Swaga za kinyamwezi.
View attachment 335755
Soma btw the lines....
View attachment 335754
Mjini tunanyimana chakula, lakini umbea.....walaaaaa
Ndimu magengeni zimeisha?Habari zingine kusoma zinachefua tu.
Bonge la gazeti alafu kilichomo ndani ni upuuzi/udaku tu.