Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

Munalove, salamu zako hizi, kama hutaki potezea

Ndo watoto wa mjini walipofika hapa
Treat ur man as u would like ur son to be treated.....as well treat ur wife as u would like ur dauta to be treated!!

Yanaweza kumrudia hata mtoto wake,au hata kizazi cha 3 na cha NNE....ukiwa na ufahamu Mungu yupo huwez kumuumiza mwenzako
 
Duh!Ubungo-mwananyamala via!sasa hao kina lulu,wema ,castor,majey,linah hao wote ni via ila destination ni huyo muna aah hii kali.
 
We acha tu.
Muna ni kuwadi asikwambie mtu....we mpe heading tu, mistari anajazia mwenyewe.
Ndio maana kwenye mapokezi ya Lulu Airport toka Nigeria alienda yeye, Wema na Davina tu.
Wasanii walimgomea kutokana na tabia yake.
Nasikia Majey kampa Muna Mil 3 za asante ya kumtongozea Lulu, chezea mjini wewe.
Huyo Casto mwenyewe kamvalisha pete mchumba wake Marry.

Nashangaa tu ghafla Muna kawa title mjini wakati hana ba wala be....ashukuru Wema kumpandisha chati, Kinje na plus mkorogo wa Dubai kwa Junaither mixture filter ya camera 360, basi kajiona kawiiiiiini.
Atupishe sie....na alivuo mfupi kama tofali la kuchoma
Hahahahahaaa DaJane jamani umenifurahisha sana leo.
Una vituko sana,nikikumbuka ulivyosema alikuwa kapauka kama ngozi ya goti la kilema nacheka kama mwendawazimu.....
Uwiiiii nimekuvulia kofia.
Sio kwa nyuzi zako hizi mbili,nimekukubali sana.
 
mtoto sio wa casto,casto alipigana na kalala jr sip peter,mahusiano ya casto na muna yalipoanza hayaendani na umri wa mtoto. mtoto ni wa huyo jamaa aliyefanywa ndondocha
 
Nimesoma yooooote, kwa mzunguko huo na kwa roho ngumu aliyonayo huyo muna, ategemee mambo ya ajabu kutoka kwa mtoto wake, kijana anakua huyo na hapo anayaandika yoote kichwani soon muna atajuta.
 
We mbuzi....kabla hujaingia humu uliangalia kwanza hapo mlangoni wameandika jukwaa gani?
Ngedere we....kama unaona upuuzi, ungesoma kimyakimya...asa kutujulisha kama ulipita ili iweje?
Unalipwa au wewe ndo team Muna?
Nyooooooooo!!!!.....umeitwa hapa au nimeku-quote waheed wewe?
Sasa kwa taarifa yako...udaku ndo habari ya mjini.
Paraza makalio yako...kojoa ukalalwe.
Tizama mpua wake, kama sketi ya solo

hhhhaaaaaaa warumi umeiona hiii nwanachama kaongezekaaa
 
Hahahahahaaa DaJane jamani umenifurahisha sana leo.
Una vituko sana,nikikumbuka ulivyosema alikuwa kapauka kama ngozi ya goti la kilema nacheka kama mwendawazimu.....
Uwiiiii nimekuvulia kofia.
Sio kwa nyuzi zako hizi mbili,nimekukubali sana.
Mhh inabidi tumpigie mizinga 21 baada ya kula ban bcz ya ule Uzi wa wema hahahah jaman kiboko huyu Dada ,tunasubiri siku ya mange
 
kote
Mtoto ni wa Casto Dickson....ushahidi ninao.
umepatia kasoro hilo la mtoto hao kuanza kugongana hawana hata miaka 3,huyo mtoto kumungalia ana 5 na kuendelea kipindi hicho casto alikuwa anashea demu mmpja mweupe na yule mbunge wa kigoma aliyefukuzwa chadema,demu akivuta hela kule anamgea casto maana kijana u marioo anaupenda sana. hiyo kupigana na kalala ni habari ya december 2014.Sitashangaa labda huyo muna alizaa na marioo mwingine nje ya peter lakini miaka 5 nyuma nakuhakikishia hata casto alikuwa hajuani na huyo demu
 
lady in red10 said:
Mhh inabidi tumpigie mizinga 21 baada ya kula ban bcz ya ule Uzi wa wema hahahah jaman kiboko huyu Dada ,tunasubiri siku ya mange

Mange kanyooshwa huko insta na kichwa panzi anahahaha tu, mpare kapatikana safari hii kaufyata fyuuuuu.
 
Duh wadada wa mjini wanapenda kweli maisha ya Drama!
No wonder Wema anakuwa na fake life kutokana na hao rafiki zake kina muna.
 
Daah yaaan da jeni unataka kusema pia mzee mzima mzitoo kabwela kapita hapo mmmmmh mbona hata mm nilipitaga kimya kimya na manzi mwenyewe hata havutii ni ziro work kwa kiwanja
 
Back
Top Bottom