Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Kabisaa nami huu ubuyu niliusikia kitambo sanaHuyo mtoto si wanasema wa yule mtangazaji wa Cloudz TV Castor Dickson?????
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisaa nami huu ubuyu niliusikia kitambo sanaHuyo mtoto si wanasema wa yule mtangazaji wa Cloudz TV Castor Dickson?????
Manake ni ileile ya kikwetukwetu uswazi kasoro mdundiko ndo umekosekana!Duh huu mchambo ungempelekea kule insta ingekuwa poa Sana maana sidhani Kama anaijua hata JF
Huyu dogo nilikaa naye kambini alikuwa mdogo Sana kipindi hicho Tarangire national park. Wazazi wake walishatangulia mbele ya haki wapumzike kwa amani.Ataachaje kufanana nae wakati ni mtoto wake?
Swaga za kinyamwezi.
View attachment 335755
Soma btw the lines....
View attachment 335754
Mjini tunanyimana chakula, lakini umbea.....walaaaaa
KabisaaManake ni ileile ya kikwetukwetu uswazi kasoro mdundiko ndo umekosekana!
Hata akikublock lakini utakuwa umetimiza nia yako ya kumuambia ukweli watatokea wengine Kama wewe watakao endeleza mpambano.Atani-block kule shoga yangu kabisa...sitaki kuchafua CV insta
Hapa ujumbe anaupata direct.Hata akikublock lakini utakuwa umetimiza nia yako ya kumuambia ukweli watatokea wengine Kama wewe watakao endeleza mpambano.
Au Kama vipi muendikie kwa fake ID maana hapa sidhani Kama ataupata Ujumbe wako.
Huhuuuuuu bila Shaka kuna connection[emoji135] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hapa ujumbe anaupata direct.
Maana kile kichambo nilichompa Wema siku ile nilikikuta Insta, nikajisemea moyoni, shenzi zao kumbe wanabarizi Jf kimya kimya
Kichambo hiki kama unanikumbuka?
View attachment 335768 View attachment 335767 Account hii haiusiani na mimi....
mh mama cha umbeaMchambo huo wameupata
We kabla hujaingia humu uliangalia kwanza hapo mlangoni wameandika jukwaa gani?Habari zingine kusoma zinachefua tu.
Bonge la gazeti alafu kilichomo ndani ni upuuzi/udaku tu.