TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

TANZIA Munde Tambwe, aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum (CCM) afariki dunia

Makumbele

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2009
Posts
312
Reaction score
1,433
Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.

Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
FB_IMG_1770099118042.jpg
 
Wote mnaosoma huu uzi haraka ingieni vitandani mlale. Bora mlale tu kuliko kuigiza mnafanya kazi mko busy. Kama kweli mngekuwa mnafanya kazi tusingekuwa maskini na kutegemea misaaada. Haya faster kitandani ni AMRI!
 
Back
Top Bottom