Moise Aimar
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 683
- 1,111
hata kama wa zamani ila CCM
ni raha
ni raha
Hakuna mji udumuo Bali twautafuta ule ujao.ndo chadema na wafuasi wake wengi walipofikia, ukiwauliza watu wema hawafi ? wanaingia mitini
Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.🥺🤔Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.
Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
Stress za kukosa ubunge wa jimbo la Sikonge maana kama ni pesa alizigawa za kutosha then chama kikamtosa.Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.
Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
Kuugua?baada ya kuugua kwa kipindi sasa