Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
I appreciate what nyerere did in TZ but shida sio waKenya shida ni wanabiashara kuingia uongozini wanataka kukaa uongozini iliwapee familia zao kila tender alafu wanarushia mabaki kabila zao!!Mambo yakiwazidi karibuni Tanzania kisiwa cha amani, hapo ndiyo mtajua umuhimu wa Nyerere
Hawa waliomo sai hata hawana uoga wakuficha kuwa wanafanya haya!!