Mungiki watinga mjini! Makabiliano makali yaibuka..

Kikwete si ndio alikuwa Raisi, aliendaje bila kualikwa, hii sikuisikia. I knew about Mkapa. Kikwete ndio nasoma sentence yako, Ilikuwaje iyo
 
Se connecter à Facebook | Facebook

Msikilize Akombe anachozungumza kwa makini, kwa muda japo wa dakika kumi wakati unamsikiliza acha kutumia ubongo wako wa kawaida ambao umekuwa very much toxicated by tribal toxins.
 
U don't understand.. Tz tutaingilia kati with or without your invitation. Gikuyu is the only problem in Kenya.
Lmao ....now lets not get ahead of ourselves !!!....

There is welcomed support and their is condescending support....

Kenya wanao ua watu sio wakikuyu
bali ni polisi...msijifanye miungu sasa .....we have a 2.21bn$ army budget yearly yenye only 70mn$ imetumika somalia ....msishikwe kwa ushabiki kwamba Kenya inaelekea Chini mkasahau "Chini" ya Kenya sio Chini ya Tanzania......two different things !!!!

Msikuje dick measuring contest mtoke Kenya bila mkoa mzima wa Arusha na mwanza!!!!....

Trust me Kenyan Propaganda and politicians will eat tanzanian system like NANOBotS .....nendeni ICC muangalie Moreno Ocampo anavyo chukuliwa.... kila mwaka a new corruption case is leveled against him with evidence!!....

Better yet angalia Bunge la Somalia

Kwa wanunge 229, ......
67 ni wakenya
28 wamarekani,
15 wa denmark!!
8 wa uingereza

Ndio maana hakuna sheria zisizo nufaisha Kenya hupita bunge lao

Wamekuwa wakitaka KDF itoke Somalia kila wiki kuna motion katika bunge kuhusu hilo swala lakini haiwezi pita!!!!

Kenya is at a tribal crisis....but its far from being 2007!!!
Trust me!!

2007 hata hewa ilikuwa inanuka vita!!!!
This is not that!!

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
 
Huyu mwenzenu ana matatizo sana ya ukabila, yupo tayari kufanya lolote na kupindisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ili kutetea kabila lake. Ni muhimu wakenya wengine mjifunze kutoka kwake, hakikisheni mnasimamia ukweli hata kama kwa kufanya hivyo unakwenda kinyume na matakwa ya kabila au nchi yako
 
Kikwete si ndio alikuwa Raisi, aliendaje bila kualikwa, hii sikuisikia. I knew about Mkapa. Kikwete ndio nasoma sentence yako, Ilikuwaje iyo
Hali ilikuwa mbaya sana, ikabidi aombe kwenda kusaidia kutatua huo mzozo, sikiliza hotuba ya Kikwete kwenye you tube wakati anahutubia bunge la Kenya akiwaaga kumaliza muda wake.
 
Kabila lake ata haliko kwa makabila yanayozozana Kenya. So kusema ana ukabila ni ujinga
 
You know Tanzania bully Malawi wanafikiria wanaweza sumbua Kenya. Kenya can be in civil war and still invade them and win
 
Kabila lake ata haliko kwa makabila yanayozozana Kenya. So kusema ana ukabila ni ujinga
Wanajisumbua sana na za Kenya vichwa vitawauma sana. Hawajui miungano ya kisiasa huwa inabadilika zaidi ya kinyonga. Juzi juzi tu mkalenjin hakutaka kuona mkikuyu na mkamba alielewana na mkikuyu na mkikuyu na mjaluo walishikana kumng'oa Moi. Hapo hatujaongea kuhusu wamaasai, waturukana, wasomali na makabila mengine 36 na ruka ruka zao kutoka kambi moja hadi nyingine.
 
duh,yaani Kenya ukifuga dreads unakuwa mungiki very sad
Hio ndo reality mkuu, kwanza uwe eti una jina za kikikuyu na una dreadlocks wewe kwishney! Hawataki kujua hata kama wazazi wako walikuita Dedan Kimathi na wewe ni mjaluo. Utalala cell kila wikendi na ukijifanya mang'aa wataokota mwili wako kule Ngong' forest.
 
Kabila lake ata haliko kwa makabila yanayozozana Kenya. So kusema ana ukabila ni ujinga
Mjinga ni wewe mwenye akili ndogo inayoshindwa kujua kwamba kama kalenjin anamsaidia kikuyu, au kamba anamsaidia Jaluo, au mijikenda wameamua kushirikiana na Jaluo kwa msingi ya ukabila hata wao wasaidizi pia wana ukabiala?
 
Lerngo la wengine wenu ni kuona machafuko Kenya...kama wewe.
 
U don't understand.. Tz tutaingilia kati with or without your invitation. Gikuyu is the only problem in Kenya.
Have you seen them demonstrating or destroying property??? Wacha chuki bila sababu.
 
Finish this quote wacha kuisema nusu nusu...


But be ready for war!!
In Latin:
"si vis pacem para bellum."
It means,
“If you want peace, prepare for war.”


Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
You cannot exchange peace for war...African Proverb. wachana na wazungu they have always been a warring people.
  1. Wars are created by people too old(RAO) to fight for those to young to die.
  2. War(NASA) is a bad chisel with which to curve out tomorrow.
  3. Truth is the first victim of war.
  4. Don't beat the drums of war unless you're ready to fight.
  5. A man who is putting on his armour for war should not boast like a man who's taking it off.
 
You know Tanzania bully Malawi wanafikiria wanaweza sumbua Kenya. Kenya can be in civil war and still invade them and win
There is no Kenya any more, now we talk about People's Republic of Kenya and Central Republic of Kenya, they fight against each other, if Tanzania invade Kenya means it will be supported by one side, then tell me which country among those two can be able to resist well experienced TPDF?
 
Se connecter à Facebook | Facebook

Msikilize Akombe anachozungumza kwa makini, kwa muda japo wa dakika kumi wakati unamsikiliza acha kutumia ubongo wako wa kawaida ambao umekuwa very much toxicated by tribal toxins.
UKWELI UNAPATIKANA KWA KUWASIKIZA PANDE ZOTE MBILI...Sasa wewe unaniambia nitumie ubongo huku wewe umemsikiza Akombe pekee yake na ukakuja na a biased conclusion. If Acup(AKOMBE) was sincere, why leave at the last moment when the Kenyan people need her most leaving Kenyans to the dogs while she runs away to watch Kenya burn?
She was the NASA mole that tried to sabotage the elections in favor of NASA.
 
Wars are created by tribalists people like you, not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…