Sammuel999
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 3,481
- 2,347
Naaah ni photoshopKumbe kwenu polisi wanafuga rasta
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naaah ni photoshopKumbe kwenu polisi wanafuga rasta
Kikwete si ndio alikuwa Raisi, aliendaje bila kualikwa, hii sikuisikia. I knew about Mkapa. Kikwete ndio nasoma sentence yako, Ilikuwaje iyoMkapa was invited but Kikwete didn't, he decided to come to salvage the country. Tatizo kubwa la mtu mwenye mawazo ya ukabila ndio huo, mtu yeyote akitoa mawazo lazima utampeleka kwenye kabila fulani bila kujali na kufikiria mawazo yake, Justice Maraga mnasema ameegemea NASA, Chiloba mnasema ameegemea Jubilee, Akombe amejiuzulu kwa ridhaa yake, mnasema ni NASA, Magufuli hajawahi kuzungumza lolote kuhusu siasa za Kenya, tayari mnasema ni NASA, kama hujui jinsi ukabila unavyoarhiri judgement, look how many Kenyans do analyse things related to politics.
Siku zote watanzania tumekua tukisimamia ukweli bila kujali watu watasema nini juu yetu, hata Kikwete alipomshauri Kagame afanye mazungumzo na wahutu alikataa na Kikwete na Tanzania nzima tukaonekana tunawapendelea wahutu, kwa sababu tu Kikwete alishauri njia ya mazungumzo na waasi, lakini hatukurudi nyuma, badala yake tulikwenda DRC kuwatoa M23 waliokuwa wanatumiwa na Kagame kuleta machafuko huko DRC.
Lengo letu ni kuona kuna amani Kenya, amani haiwezi kupatikana kama kuna baadhi ya watu wanataka kujiona wana hata miliki juu ya wakenya wengine, ninakuhakikishia hata useme nini na kutuita tunashabikia upande gani, Tanzania haitakaa kimya kuona binadamu wanauliwa hovyo hovyo eti kwa kuogopa kuonekana wanaegemea upande mmoja, kama kwa kuegemea upande mmoja kutasimamisha mauaji na kuleta amani hapo Kenya, tutafanya hivyo, kama tulivyofanya DRC na nchi zinginezo, sisi sio tribalists kama wewe, unafikiria kikabila, unawaza kikabila, unazungumza kikabila, unaandika kikabila, na unadhani kila mtu ni mkabila kama wewe.
Se connecter à Facebook | FacebookThey were invited sio kama wewe kuria povu kwa nyumba ya mwenyeji wake. Hold your balls man, wait for an invitation as you get to know your host. And lastly don't pretend to like Kenyan people whilst you already leaning on one side politically and emotionally. By the way Raila will never be president take that to BoT.
Lmao ....now lets not get ahead of ourselves !!!....U don't understand.. Tz tutaingilia kati with or without your invitation. Gikuyu is the only problem in Kenya.
Huyu mwenzenu ana matatizo sana ya ukabila, yupo tayari kufanya lolote na kupindisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ili kutetea kabila lake. Ni muhimu wakenya wengine mjifunze kutoka kwake, hakikisheni mnasimamia ukweli hata kama kwa kufanya hivyo unakwenda kinyume na matakwa ya kabila au nchi yakoWatetee tu....lakini kumbuka Mungiki walipo rudi Nairobi Matatu sacco wakikuyu ndio waliokuwa wakwanza kutii amri
Kurarua mangua za wamama kwa kuwa wamevaa vibaya
Kukata vidole za wanaume kwa kuwa wanashukiwa kuwa mashoga
Kuwanyanyasa madereva na makondkta wa matatu wawalipe fidia na kodi
Kunyanyasa wauzaji smokie iliwanyakue biashara zao za smokie watumie bakuli zao kutembeza silaha mijini
Istoshe kibaki alipo tuma polisi central Kenya hyo wakati wakikuyu 78 walikufa 2004-6 kwa njia za polisi....but ur tribal thinking is making you sooooo foolish hata kuona huoni sasa ni kutetea kila mtu by any chance !!
This is the Same Same way most kikuyu forget that Mau Mau killed only 32 white people but over 27,000 peoplw in central who refused oathing by cutting their toungues and hanging the on trees to blees out during the 1952-58 emergency period ....Kenyatta never recognised any of them!!!
They MAU MAU were classified a terror organisation upto 2003 when Kibaki entered and changed that!!!
But hey dont let me stop you!!!
By all means since you want to prove a pointbto the rest of the kenyans by all means possible support that mungiki bruh!!!.....
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Hali ilikuwa mbaya sana, ikabidi aombe kwenda kusaidia kutatua huo mzozo, sikiliza hotuba ya Kikwete kwenye you tube wakati anahutubia bunge la Kenya akiwaaga kumaliza muda wake.Kikwete si ndio alikuwa Raisi, aliendaje bila kualikwa, hii sikuisikia. I knew about Mkapa. Kikwete ndio nasoma sentence yako, Ilikuwaje iyo
Kabila lake ata haliko kwa makabila yanayozozana Kenya. So kusema ana ukabila ni ujingaHuyu mwenzenu ana matatizo sana ya ukabila, yupo tayari kufanya lolote na kupindisha ukweli kuwa uongo na uongo kuwa ukweli ili kutetea kabila lake. Ni muhimu wakenya wengine mjifunze kutoka kwake, hakikisheni mnasimamia ukweli hata kama kwa kufanya hivyo unakwenda kinyume na matakwa ya kabila au nchi yako
You know Tanzania bully Malawi wanafikiria wanaweza sumbua Kenya. Kenya can be in civil war and still invade them and winLmao ....now lets not get ahead of ourselves !!!....
There is welcomed support and their is condescending support....
Kenya wanao ua watu sio wakikuyu
bali ni polisi...msijifanye miungu sasa .....we have a 2.21bn$ army budget yearly yenye only 70mn$ imetumika somalia ....msishikwe kwa ushabiki kwamba Kenya inaelekea Chini mkasahau "Chini" ya Kenya sio Chini ya Tanzania......two different things !!!!
Msikuje dick measuring contest mtoke Kenya bila mkoa mzima wa Arusha na mwanza!!!!....
Trust me Kenyan Propaganda and politicians will eat tanzanian system like NANOBotS .....nendeni ICC muangalie Moreno Ocampo anavyo chukuliwa.... kila mwaka a new corruption case is leveled against him with evidence!!....
Better yet angalia Bunge la Somalia
Kwa wanunge 229, ......
67 ni wakenya
28 wamarekani,
15 wa denmark!!
8 wa uingereza
Ndio maana hakuna sheria zisizo nufaisha Kenya hupita bunge lao
Wamekuwa wakitaka KDF itoke Somalia kila wiki kuna motion katika bunge kuhusu hilo swala lakini haiwezi pita!!!!
Kenya is at a tribal crisis....but its far from being 2007!!!
Trust me!!
2007 hata hewa ilikuwa inanuka vita!!!!
This is not that!!
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Wanajisumbua sana na za Kenya vichwa vitawauma sana. Hawajui miungano ya kisiasa huwa inabadilika zaidi ya kinyonga. Juzi juzi tu mkalenjin hakutaka kuona mkikuyu na mkamba alielewana na mkikuyu na mkikuyu na mjaluo walishikana kumng'oa Moi. Hapo hatujaongea kuhusu wamaasai, waturukana, wasomali na makabila mengine 36 na ruka ruka zao kutoka kambi moja hadi nyingine.Kabila lake ata haliko kwa makabila yanayozozana Kenya. So kusema ana ukabila ni ujinga
duh,yaani Kenya ukifuga dreads unakuwa mungiki very sadOk its hearsay, but am very sorry. Just playing it safe, you might be one of them and I love life soo much! 😀
Hio ndo reality mkuu, kwanza uwe eti una jina za kikikuyu na una dreadlocks wewe kwishney! Hawataki kujua hata kama wazazi wako walikuita Dedan Kimathi na wewe ni mjaluo. Utalala cell kila wikendi na ukijifanya mang'aa wataokota mwili wako kule Ngong' forest.duh,yaani Kenya ukifuga dreads unakuwa mungiki very sad
Mjinga ni wewe mwenye akili ndogo inayoshindwa kujua kwamba kama kalenjin anamsaidia kikuyu, au kamba anamsaidia Jaluo, au mijikenda wameamua kushirikiana na Jaluo kwa msingi ya ukabila hata wao wasaidizi pia wana ukabiala?Kabila lake ata haliko kwa makabila yanayozozana Kenya. So kusema ana ukabila ni ujinga
Lerngo la wengine wenu ni kuona machafuko Kenya...kama wewe.Mkapa was invited but Kikwete didn't, he decided to come to salvage the country. Tatizo kubwa la mtu mwenye mawazo ya ukabila ndio huo, mtu yeyote akitoa mawazo lazima utampeleka kwenye kabila fulani bila kujali na kufikiria mawazo yake, Justice Maraga mnasema ameegemea NASA, Chiloba mnasema ameegemea Jubilee, Akombe amejiuzulu kwa ridhaa yake, mnasema ni NASA, Magufuli hajawahi kuzungumza lolote kuhusu siasa za Kenya, tayari mnasema ni NASA, kama hujui jinsi ukabila unavyoarhiri judgement, look how many Kenyans do analyse things related to politics.
Siku zote watanzania tumekua tukisimamia ukweli bila kujali watu watasema nini juu yetu, hata Kikwete alipomshauri Kagame afanye mazungumzo na wahutu alikataa na Kikwete na Tanzania nzima tukaonekana tunawapendelea wahutu, kwa sababu tu Kikwete alishauri njia ya mazungumzo na waasi, lakini hatukurudi nyuma, badala yake tulikwenda DRC kuwatoa M23 waliokuwa wanatumiwa na Kagame kuleta machafuko huko DRC.
Lengo letu ni kuona kuna amani Kenya, amani haiwezi kupatikana kama kuna baadhi ya watu wanataka kujiona wana hata miliki juu ya wakenya wengine, ninakuhakikishia hata useme nini na kutuita tunashabikia upande gani, Tanzania haitakaa kimya kuona binadamu wanauliwa hovyo hovyo eti kwa kuogopa kuonekana wanaegemea upande mmoja, kama kwa kuegemea upande mmoja kutasimamisha mauaji na kuleta amani hapo Kenya, tutafanya hivyo, kama tulivyofanya DRC na nchi zinginezo, sisi sio tribalists kama wewe, unafikiria kikabila, unawaza kikabila, unazungumza kikabila, unaandika kikabila, na unadhani kila mtu ni mkabila kama wewe.
Have you seen them demonstrating or destroying property??? Wacha chuki bila sababu.U don't understand.. Tz tutaingilia kati with or without your invitation. Gikuyu is the only problem in Kenya.
You cannot exchange peace for war...African Proverb. wachana na wazungu they have always been a warring people.Finish this quote wacha kuisema nusu nusu...
But be ready for war!!
In Latin:
"si vis pacem para bellum."
It means,
“If you want peace, prepare for war.”
Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
There is no Kenya any more, now we talk about People's Republic of Kenya and Central Republic of Kenya, they fight against each other, if Tanzania invade Kenya means it will be supported by one side, then tell me which country among those two can be able to resist well experienced TPDF?You know Tanzania bully Malawi wanafikiria wanaweza sumbua Kenya. Kenya can be in civil war and still invade them and win
UKWELI UNAPATIKANA KWA KUWASIKIZA PANDE ZOTE MBILI...Sasa wewe unaniambia nitumie ubongo huku wewe umemsikiza Akombe pekee yake na ukakuja na a biased conclusion. If Acup(AKOMBE) was sincere, why leave at the last moment when the Kenyan people need her most leaving Kenyans to the dogs while she runs away to watch Kenya burn?Se connecter à Facebook | Facebook
Msikilize Akombe anachozungumza kwa makini, kwa muda japo wa dakika kumi wakati unamsikiliza acha kutumia ubongo wako wa kawaida ambao umekuwa very much toxicated by tribal toxins.
Wars are created by tribalists people like you, not otherwise.You cannot exchange peace for war...African Proverb. wachana na wazungu they have always been a warring people.
- Wars are created by people too old(RAO) to fight for those to young to die.
- War(NASA) is a bad chisel with which to curve out tomorrow.
- Truth is the first victim of war.
- Don't beat the drums of war unless you're ready to fight.
- A man who is putting on his armour for war should not boast like a man who's taking it off.
How am i a tribalist? please explain to me as a 2year old.Wars are created by tribalists people like you, not otherwise.