Mungiki watinga mjini! Makabiliano makali yaibuka..


https://JamiiForums.com.s3.amazonaws.com/2017/10/197587_31237093d254805a528a7a55fd68c30e.jpg
 
haha unaamini kuna two kenyas?
 
Mjinga ni wewe mwenye akili ndogo inayoshindwa kujua kwamba kama kalenjin anamsaidia kikuyu, au kamba anamsaidia Jaluo, au mijikenda wameamua kushirikiana na Jaluo kwa msingi ya ukabila hata wao wasaidizi pia wana ukabiala?

Raila kuvalishwa kofia ya Mungiki na Mkubwa wa Mungiki. Ukabila upo kwa anayevalishwa?

 
Wewe una ukabila wa hali ya juu sana, Akombe anakuambia alipokea vitosha kwa muda mrefu ila akasema hawezi kuondoka, ni mkapa alipofuatwa akaambiwa usipojiuzulu maisha yake yapo hatarini, ulitaka aendelee kubaki wamchinje kama Msando?, ni mtu mwenye akili finyu pekee ndiyo angeweza kuendelea kubaki, kumbuka Msando alishapokea vitisho na akaripoti katika vyombo vya usalama na hakupewa ulinzi wowote, na hata alipouliwa hakuna hata mmoja aliyekamatwa kuhusiana na mauaji yake, ulitaka Akombe aendelee kubaki na yeye auliwe wakati ana uraia wa nchi nyingine ambako anaweza kwenda kuendelea na maisha bila threats?, punguza ukabila aisee.

Unadai nisikilize upande wa pili, upi huo unataka nisikilize?, Akombe is neither NASA nor Jubilee, sasa wewe unasema nisikilize upande upi wa pili, kumbuka mimi sio mkenya kwamba kila mtu mnampa side, wakenya ukabila umepoteza uwezo wenu wa kufikiria kiasi kwamba kila mtu anayeshiriki kuzungumza lolote kuhusu nchi yenu lazima mumuweke katika fungu la makabila yenu, we are not as fool as you
 
haha unaamini kuna two kenyas?
Huo ndiyo ukweli, japo ni ngumu kukubaliana nao lakini safari ya kuelekea huko ilishaanza kitambo, Raila anaenda kutangaza rasmi Jumatano ijayo movement ya kuigawa nchi, stay tune.
 
Raila kuvalishwa kofia ya Mungiki na Mkubwa wa Mungiki. Ukabila upo kwa anayevalishwa?

Ninahisi ninajadiliana na tikiti maji, kumvisha mtu kofia ndiyo kushirikiana naye?, hata kama kuna wakikuyu wachache wanashirikiana na Raila, unaweza kweli kuambia dunia kwamba Jaluo na Kikuyu are not political rivalry?
 
Wewe sitawahi bishana na wewe.
 
Ninahisi ninajadiliana na tikiti maji, kumvisha mtu kofia ndiyo kushirikiana naye?, hata kama kuna wakikuyu wachache wanashirikiana na Raila, unaweza kweli kuambia dunia kwamba Jaluo na Kikuyu are not political rivalry?
 
Ninakushukuru kwa kuelewa ukweli, japo ninajua ubongo wako umeathirika kutokana na chuki za kikabila ulizopandikizwa tangu ukiwa mtoto, huamini kwamba watu wanaweza kuishi pamoja bila hata kuulizana makabila yao, karibu Tanzania uje ujifunze kuishi na watu kwa miaka bila kujuana wala kuulizana makabila
 
Duu nimeona picha Moja #10 askari wa kenya ana rasta kumbe wao hawakatazi kuwa na rasta
 

Akombe said that her life was in danger you fool ......she had no other option but to flee .or did you want her to stick around and end up like Msando. Whether or not she was a NASA mole her safety was more important to her than a predetermined election
 
To know your enemy, know their ways...If you cant beat them join them then beat them at their own game.
Why Kikuyu don't take any step to learn Luo and vice versa, because they hate each other more than wazungu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…