Mungiki watinga mjini! Makabiliano makali yaibuka..

Mungiki watinga mjini! Makabiliano makali yaibuka..

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
Hali maeneo ya ruaraka hapa nairobi,si shwari baada makabiliano makali kuibuka mitaani Kati ya vijana wa kundi haramu LA mungiki na wajaluo.
Mwenzenu tangu niziskie hizi habari nimetulia mvunguni tu nisubir hali ipoe mazee..Alah atuepushie hili kombe la shubiri dah.
Source: Man shot in Lucky Summer as residents storm Mungiki 'prayer' meeting - Nairobi News
FB_IMG_1508679626469.jpg
FB_IMG_1508679642766.jpg
FB_IMG_1508679652805.jpg
FB_IMG_1508680595559.jpg
 
Poleni sana mkuu. Tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awaepushe na hii migogoro ili mmalize uchaguzi kwa amani na usalama.
 
Mungiki doing rituals and drinking blood and Police are protecting them, and they kill protestors protesting them.

Wakenya mnisaidie hapa, niliwasikia hawa jamaa kwenye documentary za ross Kemp hawa mungiki wameua sana ile vurugu iliyopita, na walikuwa wanamweleza kabisa Kemp, why are they not eliminated yet, who are these mungiki who's financing them.
Hiyo nchi yenu hiyo, hatari sana.
 
Polisi wa kuzima ghasia pia wako patrol katika maeneo!
FB_IMG_1508680836639.jpg
FB_IMG_1508680953478.jpg
 
Yo So Jubilee is just the devil


Hate Raila for whatever reasons but there is no day you will find Jaluos or Raila supporters preparing to go to battle....theirs is reactionary violence not pre-meditated!!!!

They break things and steal only during demos and not sitting down and planning violence

This is why Jubilee must fall

And it will......matter is when not how!!!


Kikuyus come to a majority Luo estate and Start provoking the luos to fight !!!!....wanaanzisha wenyewe vita alafu mkipigana nyinyi waluo ndio mna demonisiwa!!

Smh!!
d82b4fcbb8d684e70125d7c828dbbed2.jpg
bd8af3672b1f01385e4316ec1358307d.jpg


7468935fdc8b4ddeb8ea9c5a23fccf25.jpg
 
They will force mainstream communities to start arming with weapons far deadlier than machetes and arrows!!!!....they keep provoking people it will end Badly for "Mungiki".....

Sent from my SM-J105F using JamiiForums mobile app
Mambo yakiwazidi karibuni Tanzania kisiwa cha amani, hapo ndiyo mtajua umuhimu wa Nyerere
 
Back
Top Bottom