Pre GE2025 Mungu akimshukia Rais Samia na kumuonesha hali itakavyokuwa muhula mwingine huenda ataghairi kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716

Mwenzetu umeonyeshwa nini??
Uzuri wa upinzani ngoma yao ya kitoto haikeshi
 
Wachawi wote washakufa na wazuri hawafi nini tena cha kumtia hofu huyu form four failure aliyekuwa na ndoto za kuwa mgawa kashata kwenye ndege na sasa analindwa na majini.
 
Huu ni uzi wa Tatu unao muonya.
Sijajua nyie wenye macho matatu mmeona nini hadi kusema hivi.
 
Acha kukufuru, wewe kakushukia lini akakuonesha hali ya hiyo miaka 5 ya mbele?
Kama umeshaoneshwa tuambie hapa ujumbe utamfikia.
 
Ni kweli
 

Attachments

  • 1edaac7a3e34dc7dbc36bb899a6e6430_1738702701936.mp4
    5.4 MB
Kama Mungu anaweza mshukia Mama na kumuonyesha vile 5 tena itakuwa uwenda akaomba kushuka apumzike maana itakuwa moto sana kiasi atakiri mbele ya hadhira i wish ningejuwa🥺🥺🥺
 
Hafiki July huyu mjaa misifa
 
Uzuri Samia kawekwa na Mola na ndie atamlinda acha fitina zako
 
Huu ni uzi wa Tatu unao muonya.
Sijajua nyie wenye macho matatu mmeona nini hadi kusema hivi.
Achana na huyo mpiga Ramli aliyejaa chuki binafsi ,ukabila na ubaguzi. Huyo ni wa kupuuzwa tu maana inanyesha ana matatizo kichwani wake. Umesahau awamu ya Tano alikuwa anatishia watu kuwaua humu jukwaani? Umesahau kuwa mtoa mada ndiye alimtishia Maisha Ben Saa Nane? Sasa Ben yupo wapi? Huoni kuwa mleta mada anajua alikompeleka?

Huyu mleta mada ni shetani tu mwenye roho ya kishetani na ndio maana watu wanaomjua humu jukwaani wanampuuza sana na kumdharau kwa sababu wanajua hana uzalendo wowote zaidi ya chuki binafsi na kwamba mikono yake imejaa Damu tu.

Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe na ataendelea kuongoza Taifa letu hadi 2030.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…