Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mate wa ivumwe, usikatae sana. Jambo litupatalo wanadamu wore laweza kumpata yeyote wakati wowote. Anaweza asigombee au asiwepoAmka usingizini ewe usiyejitambua.
Dua la kuku halimfiki mweweCCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu,pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu.
Tuliza kishuzi muda utaongeaDua la kuku halimfiki mwewe
Sikio la kufa halisikii dawa
Mungu akimshukia Mama akamuonyesha 5 tena vile itakuwa ataomba kushuka.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Kama Mungu anaweza mshukia Mama na kumuonyesha vile 5 tena itakuwa uwenda akaomba kushuka apumzike maana itakuwa moto sana kiasi atakiri mbele ya hadhira i wish ningejuwa...
Tunamuombea.
Machafuko machafuko machafuko kulia na kusaga meno .Njaa na utapiamlo UCHAGUZI UTAKAPOKWISHA. Chioko and Gonza rebirth.Huu ni uzi wa Tatu unao muonya.
Sijajua nyie wenye macho matatu mmeona nini hadi kusema hivi.
Wamezoa vigangoni kunena kwa mafumboAndika ueleweke vizuri sio unafumba likitokea la kutokea unajibanza humo kuzuga uliyatabiri/uliyasema
Nimetabiri ila natumaini amesha ambiwa kabla hajatia nia hivyo amekubaliAcha kukufuru, wewe kakushukia lini akakuonesha hali ya hiyo miaka 5 ya mbele?
Kama umeshaoneshwa tuambie hapa ujumbe utamfikia.