Pre GE2025 Mungu akimshukia Rais Samia na kumuonesha hali itakavyokuwa muhula mwingine huenda ataghairi kugombea

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Jambo mtu asilo lijuwa ni usiku wa kiza. Ila wapo wanao uwona mwaka 2040 wakiwa 2025. Hatupo hapa kusema ili kupata watu ila kushauri kwa manufaa ya kesho. Kila zama na kitabu chake.
Kuhusu Putin naomba watu wavute subira. Hakuna marefu yasio kuwa na ncha
 
Sikio la kufa halisikii dawa
 
Tunajua tulipotoka, Hakuna anayejua hatima yake kesho itikuwaje
 
Acha kukufuru, wewe kakushukia lini akakuonesha hali ya hiyo miaka 5 ya mbele?
Kama umeshaoneshwa tuambie hapa ujumbe utamfikia.
Nimetabiri ila natumaini amesha ambiwa kabla hajatia nia hivyo amekubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…