Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwa nakuona kwenye threads za kutoboa maisha tu. Wewe Ni mzaliwa wa Arusha au Moshi?😅Amina mkuu..umeshatoboa tayari?
Ubarikiwe,mtumishi.Haijalishi unatoka wapi unafanya nini au wewe ni nani Mungu akikuinua hata sisi tutashangaa.
Tusichoke kusali, na kufanya kazi kwa bidii.
[emoji13][emoji13]Huwa nakuona kwenye threads za kutoboa maisha tu. Wewe Ni mzaliwa wa Arusha au Moshi?[emoji28]