Mungu akitaka ufanikiwe ni chap tu

FaNya kazi brother wacha kujikomba Komba na dini
 
Na ni kwa nini atake wewe ufanikiwe? Una vichwa viwili, tofauti na binadamu? Alikupa tu akili, jua tu maisha ni mchezo, mafanikio ni wewe mwenyewe.
 
Na ni kwa nini atake wewe ufanikiwe? Una vichwa viwili, tofauti na binadamu? Alikupa tu akili, jua tu maisha ni mchezo, mafanikio ni wewe mwenyewe.
kwani wanangu mnasomaje,
hujaona nliposema ufanye kazi kwa bidii??
 
Sawa unafanya kazi kwa bidii ila mmoja anafanikiwa na mwingine anaangukia pua. Kumbuka juhudi na maarifa ni yaleyale na afya zinalingana. Ninazungumzia hapo! Sasa hapo Mungu ana upendeleo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ