Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
Ifahamike ya kwamba Mungu hupenda roho safi, mioyo safi, na utakaso ndani ya nafsi zetu, hivyo basi ukimtegemea na kumuishi yeye, hutumii nguvu ya kuhangaika na Ibilisi akufuataye kwenye maisha yako. Mungu wa kweli hupigana yeye kama yeye dhidi ya maadui zako, maana kila kombora na silaha zote anazo yeye.
Mfanye Mungu akae ndani yako, enenda atakavyo, ishi kwa amri zake, fanya mambo yaliyo bayana yampendezayo Mungu nawe atashinda yote na utaenda kuishi ufalme wa milele.
Si rahisi sana kibinadam ila ni wajibu wetu na miongozo ya kumuishi Mungu ipo.
Tukapate kuyaishi masndiki yake.
Amani ya bwana ikawe nasi site.
Amina Amina.
Nguvu ya imani ya Bwana Mungu wetu ni silaha tosha ya maisha yetu.
Wadiz mtume ajaye.
Mlioachika kwenye ndoa, mahusiano na mengineyo mpambane kumkaribisha Mungu awatibu majeraha yenu Dua la kuku halimpati mwewe.
Tuache hasira za kifara za kutokumjua Mungu na kumuishi yeye. Mungu.
Jiwe Gizani hata mimi hii ngumi ndoige inanihusu