Kwa bahati mzur mmoja wa mashahidi ni mtoto wake anakiri kuwa dingi alikuwa kisanga sanaBro kwema habari za uzima.
Hivi hizi Tuhuma za Marehemu zina ukweli ? na kwanini wamtuhumu sasa akiwa hawezi kujitetea.
BBC wamehoji watu waliochanganyikiwa baada ya kuwalipa,Kanisa la T.b Joshua lina miaka 30 na limetoa Wiseman watano alioishi nao miaka 10,20,30 nao wana makanisa yao,kwa nini BBC hawajawahoji wale wote walioishi na T.b Joshua kwa miaka 10,20 na 30?