stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Mm ni mkristo kidini lakini kiasi flan navutiwa sana na dini za wahindi, Nimesoma vitabu kadhaa vya dini za kihindi japo vipo vingi huezi maliza vyote, lakini hivi ndo baadhi THE VEDAS, GURU SAHIB. katika dini ya wahindi vitabu vipo vingi ukijumlisha na Miungu yao pia ipo Mingi, kwa mfano kuna Mungu kwa ajili ya maangamizi (Shiva), Brahma(Muumbaji) alafu kuna wa kutunza kilichoumbwa anaitwa Vishnu, Mwingine ambao wengi wenu mnamjua ni Ganesha anakua kama ana mkonge wa tembo, kwa wale mnaopita sana pale DIT kwenda FIRE upande wa kulia mtakua mnamuona sana
Sasa bana kilichonifurahisha kwenye dini ya wahindi ni tukio moja, kuna kitabu chao kimoja cha kama tenzi kina nyimbo nmeisahau jina kidogo ila hio nyimbo ilitungwa karne ya 15 nyuma, hio nyimbo kuna mstari unaelezea urefu wa kutoka kwenye jua mpaka duniani, huo wimbo unasema kutoka kwenye jua mpaka duniani ni 96M miles na ujue apo ni karne ya 15, kwa takwimu za kisayansi ambao umethibitishwa ni 93M miles, hiki kitu kilinifanya nijifunze sana kuhusu Hindi religion
Baada ya miaka ya mbele nikaanza kujifunza kitabu cha wayahudi kinaitwa(TANAKH) , pia nkasoma vitabu ambavyo havijaruhusiwa kwenda kwenye biblia kama kitabu cha Thomas na vingine vingi sivikumbuki kwa majina, mwishowe nkamalizia na QUARAN kidogo, katika kusoma vitabu hivi kadhaa japo dini zipo nyingi naweza nkasema:
Binadam waliumbwa ili kukamilisha mfumo flan mkubwa unaofanya kazi, chukulia mfano wa Mwili wa Binadam ndan kuna bacteria, virusi nkdh Basi naweza kusema huenda tunafuata structure hii, kwa sababu Binadam hua tunabadilishana tu Miili ila hatufi, kama ulishawahi kuskia Dini inaosema UKIFA UNAZALIWA SEHEM INGINE basi hiki ndo nachomaanisha
Chukulia huu mfano, Binadam akifa basi mwili wake huoza na kuishia kwenye ardhi alafu wadudu wakishakula wanarudisha kwenye ardhi alafu mti utaota apo, either binadam ama mnyama atakuja kula huo mtu either direct ama indirect.
Nachojaribu kusema ni ile composition ya mwili wako inaenda kukua sehem ingine ama mtu mwingine anavaa ule mwili, kwenye swala la nafsi bado ni ngumu kuthibitisha ila naamini mzunguko ndo huo huo
Kwahio tunaweza kusema katika ulimwengu mzima sisi tuna play part flan ya mfumo mkubwa uliopo unafanya kazi sehem ingine, kuna baadhi ya vitu hata tukue vipi kisayansi vitabaki kama story ama THEORY hii inatosha kuelewesha kwamba kuna section yetu na mpaka wetu wa nn tunaweza kutambua mbele
DISCLAIMER: All these ideas are based on my own opinion