Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

passioner255

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2019
Posts
6,881
Reaction score
13,096
Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu.

Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
 
This shit is on ur hands

ni wewe kuamua kushikilia sana au kuachia

Constant elevetion causes expansion.

i feel so sory for what happened 29/10 .

RIP the Nasfi zote .

sasa tusameheane na tusonge mbele , haina sababu ya kutonesha vidonda ambavyo vimeanza kupona❤️
 
Vidondo vilivyoanza kupona ?

Waliokufa ni baba , mama ambao walikuwa wanategemewa na watoto

Watoto wamebaki yatima unasema vidondo vimeanza kupona?

Hivi una akili timamu kweli wewe?
 
This shit is on ur hands

ni wewe kuamua kushikilia sana au kuachia

Constant elevetion causes expansion.

i feel so sory for what happened 29/10 .

RIP the Nasfi zote .

sasa tusameheane na tusonge mbele , haina sababu ya kutonesha vidonda ambavyo vimeanza kupona❤️
Kwa walioua God's justice is inevitable.
 
Kunanini mtoa mada mbona husomeki
Nyoosha maelezo basi!
Nataka kuwakumbusha wauaji tu kuwa vilio vya vijana wadogo waliouawa tarehe 29 ni kama vimbo wa kumkumbusha Mungu atende haki awalipe wauaji sawasawa na matendo yao.
 
Mungu anasemehe , sio kama wanadamu na hafanyi kazi kwa maelekezo
Malipo ya damu ni damu.Mungu ameandika kwenye kitabu chake kitakatifu.kama unaua alafu unatarajia utaomba msamaha kwa Mungu unakosea.Alafu mbaya zaidi sio mauaji ya mtu mmoja ni zaidi ya watu elfu 10 alafu bado wauaji wanaendelea kuwa na kiburi kama tunavyojionea.
 
Back
Top Bottom