passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,881
- 13,096
And it is coming. Maana yake bado haija comeKulikoni??
Sawa ngoja tuvute subiraAmesema
And it is coming. Maana yake bado haija come
Hata kama sio leo Justice from God is inevitable kwenye hili.NDIYO MAANA LEO NIMEONA NUSU MLINGOTI
Mim nilitaka kukumbusha tu kuwa Mungu hawezi kuacha vilio vile vipite bila justice.Unaleta taharuki dogo tuliza mtori nyama zipo chini... Tupo mdogo mdogo tunamlia timing
Siku zote watu wema ndiyo hutangulia mbele za haki. Ni ngumu sana kumuombea Ibilisi adondoke, halafu na yeye akadondoka kirahisi tu.
Vidondo vilivyoanza kupona ?This shit is on ur hands
ni wewe kuamua kushikilia sana au kuachia
Constant elevetion causes expansion.
i feel so sory for what happened 29/10 .
RIP the Nasfi zote .
sasa tusameheane na tusonge mbele , haina sababu ya kutonesha vidonda ambavyo vimeanza kupona❤️
Kwa walioua God's justice is inevitable.This shit is on ur hands
ni wewe kuamua kushikilia sana au kuachia
Constant elevetion causes expansion.
i feel so sory for what happened 29/10 .
RIP the Nasfi zote .
sasa tusameheane na tusonge mbele , haina sababu ya kutonesha vidonda ambavyo vimeanza kupona❤️
Mungu anasemehe , sio kama wanadamu na hafanyi kazi kwa maelekezoKwa walioua God's justice is inevitable.
Nataka kuwakumbusha wauaji tu kuwa vilio vya vijana wadogo waliouawa tarehe 29 ni kama vimbo wa kumkumbusha Mungu atende haki awalipe wauaji sawasawa na matendo yao.Kunanini mtoa mada mbona husomeki
Nyoosha maelezo basi!
Malipo ya damu ni damu.Mungu ameandika kwenye kitabu chake kitakatifu.kama unaua alafu unatarajia utaomba msamaha kwa Mungu unakosea.Alafu mbaya zaidi sio mauaji ya mtu mmoja ni zaidi ya watu elfu 10 alafu bado wauaji wanaendelea kuwa na kiburi kama tunavyojionea.Mungu anasemehe , sio kama wanadamu na hafanyi kazi kwa maelekezo