"Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

"Mungu ameumaliza ugomvi" Je, hii ni kauli ya Nape kufurahia kifo cha hayati Magufuli? Ndio kusema Mungu alifurahi Membe kurudi CCM?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Hii kauli inachanganya sana. Maana ni wazi kuwa Nape na kundi lake walifurahi sana ? March 21 202.

Hii kauli inachanganya sana👇
Screenshot_20220606-144502.jpg
 
Kwani ugonvi bado upo? Kama haupo basi kaumaliza!
 
Mujiulizeni kwann mzee mwinyi anapendwa na kilamtanzania awe mtoto au kijana au wazee
 
Nabado mtackia kauli kali zaidi ya hii.chungu lakini dawa
 
Kwani Mungu akiamua hata huyu Nape si anakufa sasa hivi, yaani sasa hv, ila Mungu aliamua Magufuli afe, mimi sioni tatizo hapo.
 
Ukimuona umuulize na kifo cha Mzee Moses Nnauye ulikuwa ni uamuzi wa Mungu kwenye ugomvi upi.
 
Back
Top Bottom