Yes, the second coming of Jesus Christ is very near!JESUS IS COMING AGAIN
Get prepared
Wema wake ni mkuu sana juu yetuAmen, Mungu ni mwema sana mkuu
Yani mimi kuto amini wewe uumie kichwa?Wema wake ni mkuu sana juu yetu
Tuendelee kutumuania juu yake hata kama tunapitia hali ngumu kiasi gani kama utekaji na demokrasia ya nchi yetu kubakwa na uchumi wetu kuyumba
Ila BWANA atatenda makuu siku moja maana hakuna shida kubwa mbele ya MUNGU
Hakika Mungu ni mwema sana