agata edward
JF-Expert Member
- Nov 25, 2014
- 6,641
- 9,400
Nimewaza kama wewe!Huyu binti..hebu ngoja, yeye anatumia au?
Na yule jux "girlfriend" wake si amefungwa china kama inavyodaiwa ni kwa madawa haya haya??
Salama ya jux ni ipi??
Bavicha kila anchofanya makonda kwao ni kituko yaani cjui akili zao zimekaajeWatanzania wengi ni viazi mkuu usitumie nguvu nyingi kuwaelimisha utaumiza kichwa chako tu.
Hata Mimi sijaelewa,ila wacha tuangalie mwisho wake itakuaje.Mkuu hata mimi cjaelewa mala ya kwanza nilizani ni wauzaji hawa kumbe eti ni watumiaji!! Sasa kama ni watumiaji mbona hata kwenye ma sober house wamejaa au mimi ndio sielewi!!! Hizi case mahakamani zitafika kweli? Hapa bwana kuna kiji upepo fulani kinasubiliwa kipite hivi kwanza, then maisha yaendelee
Amehukumiwa au kutuhumiwa, hebu tusaidie ndugu.hakuna sheria ya kumhukumu mtu bila kupeleka kesi mahakamani na kuwa na ushahidi wa kutosha!
Umejuaje kuwa wasafi aliyeisema Afandesele ni WCBAfende sele the king amesema msisangae wale wanaojiita wasafi (WCB) wakawa wachafu.
Coz brand ya wasafi ni ya kwao pekee, ukisema wasafi kila mtu anajua ni wakina nani, na isitoshe yule dj wao keshatajwaUmejuaje kuwa wasafi aliyeisema Afandesele ni WCB
Makonda alikosea...labda kwa kuwa ana uelewa mdogo wa sheria ama hana kabisa uelewa wa masuala ya kisheria...kutaja majina ya watu ni hatua ya mwisho kabisa baada ya upelelezi kukamilika na mahakama kujiridhisha! Bad enough hawa wateule wa Ngosha wamekuwa na mamlaka kubwa kama mteuzi...kauli yao ni sheria!Unahisi amehukumiwa! Umetumia neno kali "upumbavu" pasipo kuwa na uelewa. Watajwa wametuhumiwa, mtu kuitwa kuhojiwa sio "amehukumiwa", yawezekana ameitwa kutoa maelezo ya namna ambavyo anahusika, uelewa alionao kuhusiana na jambo husika ama hata kuwa msaada kuwapata wahusika. Hakuna aliyehukumu hapo, wala aliyehukumiwa. Elimika, "sijui nani ni mpumbavu".
Rudi kwenye context...kuwataja watu majina hadharani ina maana ni hukumu tayari...mbona wenye mizigo wanaogopwa? Asimame hadharani awataje wenye biashara hiyo sio kulia lia na kina Chid wasiojua hata dunia inaelekea wapi...Amehukumiwa au kutuhumiwa, hebu tusaidie ndugu.
Very low.Coz brand ya wasafi ni ya kwao pekee, ukisema wasafi kila mtu anajua ni wakina nani, na isitoshe yule dj wao keshatajwa
Tunataka mapapa
Jana nimewaona Yamoto band hapa kwenye kibaa flani cha kiafrika zurich uswiss. Wanajiandaa leo kutumbuiza, nilijiuliza maswali mengi sana.. i mean kazi yao ukilinganisha na mafanikio. Wasanii wanatumiwa sana kama punda. Tour nyingi wanazofanya nje ni zaidi ya mziki.. anyway tuwaachie akina babu tale na wengineo.. naona hata aibu kuweka picha ya mwonekano wao wa jana usiku, niishie hapoOhooo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkuu vijana wa sasa hivi wanapenda sana maisha ya mtelemko ndio maana wanakuwa na mwisho mbaya.Jana nimewaona Yamoto band hapa kwenye kibaa flani cha kiafrika zurich uswiss. Wanajiandaa leo kutumbuiza, nilijiuliza maswali mengi sana.. i mean kazi yao ukilinganisha na mafanikio. Wasanii wanatumiwa sana kama punda. Tour nyingi wanazofanya nje ni zaidi ya mziki.. anyway tuwaachie akina babu tale na wengineo.. naona hata aibu kuweka picha ya mwonekano wao wa jana usiku, niishie hapo
Inatia huruma sana mkuu, na mara nyingi wanatumiwa tu, wao wanabaki na umaarufu na maBIG wanaendelea kupiga hela bila stressMkuu vijana wa sasa hivi wanapenda sana maisha ya mtelemko ndio maana wanakuwa na mwisho mbaya.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Noma sanaJux atakuwa ana nyota ya snake haiwezekani mademu zake wote wahusike na sembe [emoji56]