Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

manjis wasimuachie akahojiwe na yy
 
Hawa wanisadia polisi ili dealers,super dealer na distributor wafikiwe. Tuunge mkono jitihada za serikali.

Jux hawezi kujisafisha na yaonesha hats yule Dada take mwenye duka LA nguo pale sinza Mugabe atakuwa kwenye Ring wena
 
Afende sele the king amesema msisangae wale wanaojiita wasafi (WCB) wakawa wachafu.
 
Mkuu hata mimi cjaelewa mala ya kwanza nilizani ni wauzaji hawa kumbe eti ni watumiaji!! Sasa kama ni watumiaji mbona hata kwenye ma sober house wamejaa au mimi ndio sielewi!!! Hizi case mahakamani zitafika kweli? Hapa bwana kuna kiji upepo fulani kinasubiliwa kipite hivi kwanza, then maisha yaendelee
Hata Mimi sijaelewa,ila wacha tuangalie mwisho wake itakuaje.
 
Unahisi amehukumiwa! Umetumia neno kali "upumbavu" pasipo kuwa na uelewa. Watajwa wametuhumiwa, mtu kuitwa kuhojiwa sio "amehukumiwa", yawezekana ameitwa kutoa maelezo ya namna ambavyo anahusika, uelewa alionao kuhusiana na jambo husika ama hata kuwa msaada kuwapata wahusika. Hakuna aliyehukumu hapo, wala aliyehukumiwa. Elimika, "sijui nani ni mpumbavu".
Makonda alikosea...labda kwa kuwa ana uelewa mdogo wa sheria ama hana kabisa uelewa wa masuala ya kisheria...kutaja majina ya watu ni hatua ya mwisho kabisa baada ya upelelezi kukamilika na mahakama kujiridhisha! Bad enough hawa wateule wa Ngosha wamekuwa na mamlaka kubwa kama mteuzi...kauli yao ni sheria!
 
Amehukumiwa au kutuhumiwa, hebu tusaidie ndugu.
Rudi kwenye context...kuwataja watu majina hadharani ina maana ni hukumu tayari...mbona wenye mizigo wanaogopwa? Asimame hadharani awataje wenye biashara hiyo sio kulia lia na kina Chid wasiojua hata dunia inaelekea wapi...
 
Ingefaa Sana Kama mtu atathibitika awaataje na wenzie lakini ubaya ni kwamba Hawa jamaa Kama huwa wanakiapo cha utii
 

Attachments

  • people.jpg
    people.jpg
    73.1 KB · Views: 33
Ohooo!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jana nimewaona Yamoto band hapa kwenye kibaa flani cha kiafrika zurich uswiss. Wanajiandaa leo kutumbuiza, nilijiuliza maswali mengi sana.. i mean kazi yao ukilinganisha na mafanikio. Wasanii wanatumiwa sana kama punda. Tour nyingi wanazofanya nje ni zaidi ya mziki.. anyway tuwaachie akina babu tale na wengineo.. naona hata aibu kuweka picha ya mwonekano wao wa jana usiku, niishie hapo
 
Jana nimewaona Yamoto band hapa kwenye kibaa flani cha kiafrika zurich uswiss. Wanajiandaa leo kutumbuiza, nilijiuliza maswali mengi sana.. i mean kazi yao ukilinganisha na mafanikio. Wasanii wanatumiwa sana kama punda. Tour nyingi wanazofanya nje ni zaidi ya mziki.. anyway tuwaachie akina babu tale na wengineo.. naona hata aibu kuweka picha ya mwonekano wao wa jana usiku, niishie hapo
Mkuu vijana wa sasa hivi wanapenda sana maisha ya mtelemko ndio maana wanakuwa na mwisho mbaya.
 
Kama vanessa anahusika Jux hakosi, yule demu wa jux aneshikiliwa mpka leo China ina maana Jux alikuwa hajui?
 
Back
Top Bottom