Mungu anaendelea kuwaumbua, Vanessa Mdee atajwa sakata la Unga

jux hawezi kuwa salama, demu wake alikamatwa China, halafu kila siku yeye anasoma tuu huko China degree huu mwaka Wa 7 hamalizi tuu degree gani hiyo ya miaka mingi hivyo, nahis v money Kaitwa kutoa details za huyu jamaa
Labda aumeunganisha na masters na ph.D
 
Kuna mmoja hapo watoto wa mjini walikuwa wanasema anatengeneza pesa bandia

Halafu huyo Kinje sijui ngoja niishie hapa
 
Kuna sheria inakataa watu kuitwa kituoni?


Kisheria? Kwani kuiatwa kituo cha Polisi kwa kutuhumiwa ni dhambi?
Watu wanapenda sana kupigwa Tanganyika jack, kwenda hivi hivi kituoni anajiona hajakamatwa.
 
Huyu bwana mdogo jux atakuwa na tatzo inakuaje kila mwanamama anaejihusisha nae anadakwa kwa madawa!,wamxhunguze na yule dogo jux ss!
 
Yaan nitacheka atakaposhindwa kupeleka ushahidi mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…