Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Labda aumeunganisha na masters na ph.Djux hawezi kuwa salama, demu wake alikamatwa China, halafu kila siku yeye anasoma tuu huko China degree huu mwaka Wa 7 hamalizi tuu degree gani hiyo ya miaka mingi hivyo, nahis v money Kaitwa kutoa details za huyu jamaa