mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Habari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani anajaribu ku take advantage?
Najua hakuna ndoto unayotakuwa kuidharau, sasa unatofautishaje?
Mungu anakujibu vipi? Na akimtuma mtu, utajuaje kuwa katumwa na yeye.
Sifa zipi ni za ndoto kutoka kwa Mungu?
Michango yenu tafadhali!
Pascal Mayalla nakuomba kwa heshima na taadhima, karibu sana mkuu. Mshana Jr karibu sana mkuu.