mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
- Thread starter
- #21
Ahsante kaka yangu Mshana Jr. Kwanza kwa kuthamini wito wangu na kutenga muda wako kuandika ushauri huu.Utulivu na kukaa kimya na kutafakari katika hali ya upweke! Kila wakati unapopata tafakuri yoyote, jitenge tafuta mahali penye ukimya mbali na hizi harakati za dunia... Fanya review ya kila tafakuri yako
Kwenye ukimya na utulivu kuna majibu mengi
Mungu huongea nasi kwenye ukimya