mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Mungu anawasiliana na watu wake Kwa njia zaidi ya Sita(6) ikiwemoHabari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani anajaribu ku take advantage?
Najua hakuna ndoto unayotakuwa kuidharau, sasa unatofautishaje?
Mungu anakujibu vipi? Na akimtuma mtu, utajuaje kuwa katumwa na yeye.
Sifa zipi ni za ndoto kutoka kwa Mungu?
Michango yenu tafadhali!
Pascal Mayalla nakuomba kwa heshima na taadhima, karibu sana mkuu. Mshana Jr karibu sana mkuu.
Wapi unayapata hayo maarifa?Mungu anawasiliana na watu wake Kwa njia zaidi ya Sita(6) ikiwemo
1. Maandiko(Biblia)
2. Maono
3.Ndoto
4.Sauti yake mwenyewe
5. Kinywa cha mtu mwingine
6. Kupitisha mawazo yake akilini mwako,n.k
Hizi ndio njia ambazo Mimi binafsi nimezishuhudia Mungu akiwasiliana nami.
UTAJUAJE KAMA NI MUNGU NDIYE AMESEMA NAWE?
Kila ambacho Mungu anakisema huwa anakitia muhuri(uthibitisho) ambapo muhuri huo ni Amani yake ndani yako(Unapaswa kujua jinsi Amani ya Mungu inavyofanya kazi ndani ya watu wake). Kwa kifupi,Utendaji wa amani ya Mungu ndani yako unategemea Sana ufahamu(maarifa) uliyo nayo kuhusu Mungu mwenyewe.
Muulize Mfalme ZumaridiHabari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani anajaribu ku take advantage?
Najua hakuna ndoto unayotakuwa kuidharau, sasa unatofautishaje?
Mungu anakujibu vipi? Na akimtuma mtu, utajuaje kuwa katumwa na yeye.
Sifa zipi ni za ndoto kutoka kwa Mungu?
Michango yenu tafadhali!
Pascal Mayalla nakuomba kwa heshima na taadhima, karibu sana mkuu. Mshana Jr karibu sana mkuu.
Mkuu mimiamadiwenani , kwanza Mungu ni wa wote sio wa Wakristo tuu na anasema na wote.Habari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani anajaribu ku take advantage?
Najua hakuna ndoto unayotakuwa kuidharau, sasa unatofautishaje?
Mungu anakujibu vipi? Na akimtuma mtu, utajuaje kuwa katumwa na yeye.
Sifa zipi ni za ndoto kutoka kwa Mungu?
Michango yenu tafadhali!
Pascal Mayalla nakuomba kwa heshima na taadhima, karibu sana mkuu. Mshana Jr karibu sana mkuu.
Hujui lolote. Nenda kapime afya ya akili.Mungu anawasiliana na watu wake Kwa njia zaidi ya Sita(6) ikiwemo
1. Maandiko(Biblia)
2. Maono
3.Ndoto
4.Sauti yake mwenyewe
5. Kinywa cha mtu mwingine
6. Kupitisha mawazo yake akilini mwako,n.k
Hizi ndio njia ambazo Mimi binafsi nimezishuhudia Mungu akiwasiliana nami.
UTAJUAJE KAMA NI MUNGU NDIYE AMESEMA NAWE?
Kila ambacho Mungu anakisema huwa anakitia muhuri(uthibitisho) ambapo muhuri huo ni Amani yake ndani yako(Unapaswa kujua jinsi Amani ya Mungu inavyofanya kazi ndani ya watu wake). Kwa kifupi,Utendaji wa amani ya Mungu ndani yako unategemea Sana ufahamu(maarifa) uliyo nayo kuhusu Mungu mwenyewe.
Ahsante sana kaka Paschal Mayalla.! Nashukuru tena na tena kwa kuthamini wito wangu na kutoa muda wako kuandika points hizi, ngoja nipitie sasa hizo nyuzi.Mkuu mimiamadiwenani , kwanza Mungu ni wa wote sio wa Wakristo tuu na anasema na wote.
Asante sana kwa mada hii , kiukweli kabisa ni mtihani mgumu sana, pale unapomuomba Mungu jambo lako na kusubiria Mungu ajibu maombi. Mfano alipolipeleka taifa la Mungu Israel, utumwani Misri, walikaa huko miaka 400 kusubiria ukombozi, na alipowakomboa, walikaa njiani kwa muda wa miaka 40 kabla ya kufika nchi ya ahadi.
Kuna watu wanaomba kisha Mungu anajibu maombi instantly, papo kwa papo kama kwenye uponyaji, na kuna watu wanaomba toka kuzaliwa hadi kifo bila maombi yao kujibiwa!. There is no formula ni kwa neema tuu!.
Na kwenye maono, ndoto na kuisikia sauti, ni changamoto kubwa zaidi kuijui hiyo sauti au hayo maono kama ni ya Mungu au ya shetani, ndio maana nimetoa maangalizo haya Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba! na Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Kipimo pekee cha kujua ni kupitia matokeo, mfano ile ndoto ya Lema, ilikuja kutimia!. Mimi kwenye zile "The Voices from within " za sauti ninazozisikia, nyingi zimetokea hivyo kujifanya niamini ni sauti ya Mungu, "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Ila pia kuna nyingine hazikutokea, na kuna nyingine muda wake bado, mfano hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke muda wake ni bado, hadi 2025, hivyo by now, I can't tell kama sauti hii ni ya Mungu au la!.
P
Mkuu mimiamadiwenani , kwanza Mungu ni wa wote sio wa Wakristo tuu na anasema na wote.

Mkuu hapo kwenye mtu mmoja kujibiwa maombi instantly na mwingine kuchukua muda kujibiwa au kutojibiwa kabisa huwa naona kama imekaa unfair sana, inakuwaje wakati muumba husema yeye hana upendeleo na binadamu wote kwake ni sawa, iweje wengine awape hiyo neema na wengine awanyimeMkuu mimiamadiwenani , kwanza Mungu ni wa wote sio wa Wakristo tuu na anasema na wote.
Asante sana kwa mada hii , kiukweli kabisa ni mtihani mgumu sana, pale unapomuomba Mungu jambo lako na kusubiria Mungu ajibu maombi. Mfano alipolipeleka taifa la Mungu Israel, utumwani Misri, walikaa huko miaka 400 kusubiria ukombozi, na alipowakomboa, walikaa njiani kwa muda wa miaka 40 kabla ya kufika nchi ya ahadi.
Kuna watu wanaomba kisha Mungu anajibu maombi instantly, papo kwa papo kama kwenye uponyaji, na kuna watu wanaomba toka kuzaliwa hadi kifo bila maombi yao kujibiwa!. There is no formula ni kwa neema tuu!.
Na kwenye maono, ndoto na kuisikia sauti, ni changamoto kubwa zaidi kuijui hiyo sauti au hayo maono kama ni ya Mungu au ya shetani, ndio maana nimetoa maangalizo haya Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba! na Angalizo: Kuna Wengi Wanamwabudu Shetani Wakidhani ni Mungu!. Jee Wewe Unajijua?, Jitambue!.
Kipimo pekee cha kujua ni kupitia matokeo, mfano ile ndoto ya Lema, ilikuja kutimia!. Mimi kwenye zile "The Voices from within " za sauti ninazozisikia, nyingi zimetokea hivyo kujifanya niamini ni sauti ya Mungu, "Ombeni Mtapewa", "Tafuteni Mtapata", "Bisheni Hodi Mtafunguliwa" Je, Wajua Kuna "Kauli" na "Kauli Umba" Ambazo Huumba? Shuhudia
Ila pia kuna nyingine hazikutokea, na kuna nyingine muda wake bado, mfano hii Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke muda wake ni bado, hadi 2025, hivyo by now, I can't tell kama sauti hii ni ya Mungu au la!.
P
Tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo, na kwenye uponyaji ni kiwango cha imani yako ndicho kitakuponya!.Mkuu hapo kwenye mtu mmoja kujibiwa maombi instantly na mwingine kuchukua muda kujibiwa au kutojibiwa kabisa huwa naona kama imekaa unfair sana, inakuwaje wakati muumba husema yeye hana upendeleo na binadamu wote kwake ni sawa, iweje wengine awape hiyo neema na wengine awanyime
Ni kama Mungu anawajua walio wake tangu wanazaliwa.Tunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo, na kwenye uponyaji ni kiwango cha imani yako ndicho kitakuponya!.
P
Sasa Wewe unaombea Mimi nifirisike sasa Mungu anajibu vipi hapo?Mkuu hapo kwenye mtu mmoja kujibiwa maombi instantly na mwingine kuchukua muda kujibiwa au kutojibiwa kabisa huwa naona kama imekaa unfair sana, inakuwaje wakati muumba husema yeye hana upendeleo na binadamu wote kwake ni sawa, iweje wengine awape hiyo neema na wengine awanyime
Una hoja usikilizwe.Sasa Wewe unaombea Mimi nifirisike sasa Mungu anajibu vipi hapo?
Ni uwongo tu. Hakuna Cha kujibiwa maombi Wala nini. Ni udanganyifu kupitia dini Ili wanufaikie zaidi kupitia wajinga. Mleta mada ameuliza utajuaje kuwa maombi yamejibiwa na mungu au shetani. Je ukiota kusaliti chama au ndoa ni maombi ya mungu yamejibu au ya shetani. Je matokeo ya maombia mabaya au mazuri yanatoka Kwa nani.Mkuu hapo kwenye mtu mmoja kujibiwa maombi instantly na mwingine kuchukua muda kujibiwa au kutojibiwa kabisa huwa naona kama imekaa unfair sana, inakuwaje wakati muumba husema yeye hana upendeleo na binadamu wote kwake ni sawa, iweje wengine awape hiyo neema na wengine awanyime
Kabisa. Wewe umenielewaNi uwongo tu. Hakuna Cha kujibiwa maombi Wala nini. Ni udanganyifu kupitia dini Ili wanufaikie zaidi kupitia wajinga. Mleta mada ameuliza utajuaje kuwa maombi yamejibiwa na mungu au shetani. Je ukiota kusaliti chama au ndoa ni maombi ya mungu yamejibu au ya shetani. Je matokeo ya maombia mabaya au mazuri yanatoka Kwa nani.
Sasa kuna haja gani ya kuhimiza binadamu watende matendo mema eti ndio wataenda mbinguni ilihali ni neema tu, ina maana maandiko asilimia kubwa yametudanganya au, na kwanini sasa wengine wapewe hiyo neema na wengine wanyimweTunaokolewa kwa neema tuu na sio kwa matendo, na kwenye uponyaji ni kiwango cha imani yako ndicho kitakuponya!.
P
Swali zuri. Wewe ni ke au me? Kwangu ni nadra sana kuona ke mwenye reasoning kubwa kiasi hiki.Sasa kuna haja gani ya kuhimiza binadamu watende matendo mema eti ndio wataenda mbinguni ilihali ni neema tu, ina maana maandiko asilimia kubwa yametudanganya au, na kwanini sasa wengine wapewe hiyo neema na wengine wanyimwe
Mkuu kwahiyo ina maana wote ambao hawajibiwi maombi yao ni wale wanaoomba wenzao wafirisike siyoSasa Wewe unaombea Mimi nifirisike sasa Mungu anajibu vipi hapo?
Swali zuri sana.!Mkuu kwahiyo ina maana wote ambao hawajibiwi maombi yao ni wale wanaoomba wenzao wafirisike siyo
Utulivu na kukaa kimya na kutafakari katika hali ya upweke! Kila wakati unapopata tafakuri yoyote, jitenge tafuta mahali penye ukimya mbali na hizi harakati za dunia... Fanya review ya kila tafakuri yakoHabari zenu ninyi nyote.