Mungu anasema na Wakristo wa leo kwa njia ya ndoto?

Ahsante kaka yangu Mshana Jr. Kwanza kwa kuthamini wito wangu na kutenga muda wako kuandika ushauri huu.
 
NEEMA ya Mungu ipo Kwa watu wote lakini SI watu wote wanachagua kuipokea na kuiishi NEEMA hiyo. Wapo wanaoikataa tena wazi wazi!
 
Kama umekuwa ukikutana na waongo tu maishani mwako. Pole!
 
Upo sahihi mtu wa Mungu.....YESU ALIENDA MAHALI PALIPO KIMYA KABISA MLIMANI KUSALI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…