Mungu anatosha

Mungu anatosha

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Watu wanataka hela, wanataka gari, wanataka nyumba, wanataka kuwa milionea. Lakini Mungu tu anatosha. Ukimpata Mungu umepata kila kitu.

Vita kubwa wanapigana Kongo kugombea changarawe na kokoto zinazochimbwa ardhini. Watu wanajali fedha kuliko utu.

Ndugu wanagombana kwa ajili ya mali alizoacha baba yao.
 
Aamyn, lakini nalala njaa hapa nimekosa chakula kabisa
 
Back
Top Bottom