umeona eeeh!ila huyo alikuwa mshinda 2012 kipindi cha wema namba mbili alikuwa jokate mwegeloHivi huyu ndio alishika namba mbili baada ya wema sepetu???..
Mbona alistahili kushinda yeye???..
Hata wema si mbaya Naye alistahili kushinda Ila pia si uzuri tu ufahamu na mengineyo yanayochangia kwenye kuwa mshindiHivi huyu ndio alishika namba mbili baada ya wema sepetu???..
Mbona alistahili kushinda yeye???..
2006 alikuwa mshindi wa tatu...Ila 2012 aliiwakilisha tz kwenye mashindano ya Miss world second chanceumeona eeeh!ila huyo alikuwa mshinda 2012 kipindi cha wema namba mbili alikuwa jokate mwegelo
Wema nae alikuwa mkali mkuu..Nadhani ni siku hizi tu ndo kachujaHivi kwann mkuu hawa namba mbili na tatu wanakuwaga wazuri kuliko mshindi????..
Teh teh..Umenikumbusha Irene Uwoya alivyoshindwa kujieleza kwa ngeli ikampelekea kuwa namba 5..Lisa Jensen kweli ni mzuri kuliko bibi bomba ( wema) sema alishindwa kujielezea b4 majority na bibi bomba full confidence basi akambwaga!
aaah ok asante kwa taarifa,basi 2006 ilikuwa na watoto viwango vya tbs2006 alikuwa mshindi wa tatu...Ila 2012 aliiwakilisha tz kwenye mashindano ya Miss world second chance
Mkuu kumbe hata wewe umekaone kale karembo????..daah wallah mtoto mzuri yule eti wakampa sitti...ila ni kweli kapooza sana!Wengi wao wanafika hapo tu kwa ajili ya uzuri/urembo lakini kwenye vigezo vingine wanafeli.....kwa mfano muangalie yule binti aliyekuwa kwenye MKASI na Odemba...ni kazuri ndio lakini kako so cool..alafu mlinganishe na Odemba alivyo mapepe, wakishindana Odemba atamshinda tu.