Mungu anaumba jamani..

Mungu anaumba jamani..

lukesam

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2015
Posts
12,661
Reaction score
26,457
Hivi huyu ndio alishika namba mbili baada ya wema sepetu???..
Mbona alistahili kushinda yeye???..
 
Attachments

  • 1452950980736.jpg
    1452950980736.jpg
    50.2 KB · Views: 92
Katika Miss tanzania iliyotoa mastaa wengi wenye majina hadi sasa nadhani Miss Tz 2006 ndo inaongoza
Hivi kwann mkuu hawa namba mbili na tatu wanakuwaga wazuri kuliko mshindi????..
 
Hivi huyu ndio alishika namba mbili baada ya wema sepetu???..
Mbona alistahili kushinda yeye???..
Hata wema si mbaya Naye alistahili kushinda Ila pia si uzuri tu ufahamu na mengineyo yanayochangia kwenye kuwa mshindi
 
Mkuu huyu Lisa alikuwa na sifa zote tatizo kutokujiamini kulimponza. Nadhani lugha nayo ilimpa shida.
 
Lisa Jensen kweli ni mzuri kuliko bibi bomba ( wema) sema alishindwa kujielezea b4 majority na bibi bomba full confidence basi akambwaga!
 
Hata wema si mbaya Naye alistahili kushinda Ila pia si uzuri tu ufahamu na mengineyo yanayochangia kwenye kuwa mshindi
Sawa Bibi kizee,ila hebu waangaliage na hivyo vigezo..muangalie sitti mtemvu na mshindi namba tatu!!
 
Lisa Jensen kweli ni mzuri kuliko bibi bomba ( wema) sema alishindwa kujielezea b4 majority na bibi bomba full confidence basi akambwaga!
Teh teh..Umenikumbusha Irene Uwoya alivyoshindwa kujieleza kwa ngeli ikampelekea kuwa namba 5..
 
Hivi Lisa Jensen kashaolewa kweli au nafasi bado ipo wadau tumpandie dau
 
Wengi wao wanafika hapo tu kwa ajili ya uzuri/urembo lakini kwenye vigezo vingine wanafeli.....kwa mfano muangalie yule binti aliyekuwa kwenye MKASI na Odemba...ni kazuri ndio lakini kako so cool..alafu mlinganishe na Odemba alivyo mapepe, wakishindana Odemba atamshinda tu.
 
huyu lisa alikuwa mshindi wa tatu kama sikosei wa pili alikuwa kidoti
 
Wengi wao wanafika hapo tu kwa ajili ya uzuri/urembo lakini kwenye vigezo vingine wanafeli.....kwa mfano muangalie yule binti aliyekuwa kwenye MKASI na Odemba...ni kazuri ndio lakini kako so cool..alafu mlinganishe na Odemba alivyo mapepe, wakishindana Odemba atamshinda tu.
Mkuu kumbe hata wewe umekaone kale karembo????..daah wallah mtoto mzuri yule eti wakampa sitti...ila ni kweli kapooza sana!
 
Back
Top Bottom