Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Yeah..Kuna Aunt Ezekiel na Irene Uwoya piaaaah ok asante kwa taarifa,basi 2006 ilikuwa na watoto viwango vya tbs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah..Kuna Aunt Ezekiel na Irene Uwoya piaaaah ok asante kwa taarifa,basi 2006 ilikuwa na watoto viwango vya tbs
aaah basi ushindan ulikuwa mkubwa ila itakuwa kilichombeba wema sio uzuri labda kwenye kujieleza,wema unajua anajiamini sana katika kuongeaYeah..Kuna Aunt Ezekiel na Irene Uwoya pia
Kalikuwa kaoga???alafu kanaongea vizuri..Lisa Jensen kweli ni mzuri kuliko bibi bomba ( wema) sema alishindwa kujielezea b4 majority na bibi bomba full confidence basi akambwaga!
Kumbe ubora katika utemaji wa yai unamchango katika kumpata mrembo....dah🙁Mkuu huyu Lisa alikuwa na sifa zote tatizo kutokujiamini kulimponza. Nadhani lugha nayo ilimpa shida.
Weka pichaYaani huyo ndio mrembo Sana mpaka mufungue thread jamii forums, je mkimuona GF wangu si ndio mtasaini off kabisa. Maana kuna watu tumefungia watoto bakora we acha tu.