Mungu anaumba jamani..

Mungu anaumba jamani..

Lissa Jensen Miss Mara 2006


zxx_zpszeae1mvn.jpg

wema_zpsq5plmlm8.jpg


t3.0_zpstdim5vd7.jpg



Sasahivi wema akipiga picha na jokate ,Lissa..ataonekana mama yao mkubwa.
 
Yeah..Kuna Aunt Ezekiel na Irene Uwoya pia
aaah basi ushindan ulikuwa mkubwa ila itakuwa kilichombeba wema sio uzuri labda kwenye kujieleza,wema unajua anajiamini sana katika kuongea
 
Lisa Jensen kweli ni mzuri kuliko bibi bomba ( wema) sema alishindwa kujielezea b4 majority na bibi bomba full confidence basi akambwaga!
Kalikuwa kaoga???alafu kanaongea vizuri..


Mkuu huyu Lisa alikuwa na sifa zote tatizo kutokujiamini kulimponza. Nadhani lugha nayo ilimpa shida.
Kumbe ubora katika utemaji wa yai unamchango katika kumpata mrembo....dah🙁
 
Muulize Mange Kimambi aliyemvumbua alifanyaje aliyemuingiza mjini kushinda. Lazima walisijui nini? Wanayajua wao.
 
we jamaa mi nikajua umeweka full Picha mbona ni wa kawaida sana huyo
 
Yaani huyo ndio mrembo Sana mpaka mufungue thread jamii forums, je mkimuona GF wangu si ndio mtasaini off kabisa. Maana kuna watu tumefungia watoto bakora we acha tu.
 
Wema Sepetu alipendelewa tu na wala hana kigezo chochote cha kuwa miss Tanzania. Muangalieni huyu demu kisha mfananisheni na Wema kwa uzuri. Nadhani jibu mmepata tayari.
 
Back
Top Bottom