olando da costa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 505
- 379
Haya huwa mnayatoaga wapi na Nani aliyemwambia Hivyo. Yesu mwenyewe keshagoma na Kusema Yeye si Mungu. Unampaje Kiumbe wa Mungu sifa za Mungu ndugu yangu
Sawa Ndugu Lycaon
1. Sasa Dhambi za Adam zinakuwaj Dhambi zako Lycaon kwani Ww ulikula Tunda. Dhambi inarithishwa?
1. Dhambi ya Adamu ilifanya wazao wake wote tuwe na kasoro/dhambi. Biblia inasema kupitia mtu mmoja dhambi iliingia ulimwenguni. Na mtu mmoja ndiye ataindoa kasoro hiyo, ndiyo maana biblia inamwita Yesu Adamu wa pili.
2. Halafu Kama Yesu Alikuja Kukomboa Mbona Bado wanadamu wana Dhambi?
2. Yesu ameleta msamaha juu ya ile dhambi ya asili tuliyorithi. Amewapa wanadamu matumaini ya ufufuo. Na hata dhambi tunazotenda leo, tunaweza pata msamaha kupitia Yesu.
3. Kwanini Unapozaliwa Unaambiwa una Dhambi ya Asili wakati Yesu alifia Dhambi hiyo
3. Kupewa msamaha haimaanishi dhambi haipo.
4. Ulifanya Jambo Gani lililomfanya Yesu atolewe Sadaka kwa Ajili Yako
La Mwisho. Mungu hana Upendo na Viumbe vyake ukisema Amekupenda wewe basi Malaika na Majini hawapendi huyo Mungu ni Mbaguzi
4. Kukujibu hili na mwisho, kwenye 1yohana 4: 10. "Hivi ndivyo upendo ulivyo, si kwamba sisi tumempenda Mungu, bali yeye alitupenda akamtuma Mwana wake kuwa dhabihu ya upatanisho kwaajili ya dhambi zetu."
Si waafrika tu, hata wazungu, wachina, wahindi nk, nk, hawana manabii kwenye hizi dini za Abraham. Siyo suala la race.Waafrika nyie mna Nabii gani au Mtume Gani aliyeandika Chochote kuhusu Nyie
kwa hio tuna Mungu wawili ?Yesu karithi jina la baba yake. Baba yake ni Mungu hivyo Yesu nae ni Mungu.
Daughter of Mutah nimekwambia kwa maandiko ya Sunni Kaa pembeni ,wajibu wenye maandiko Yao, wewe hayakuhusuNarudia, "shikamo baba" ushamjua yupi ndio wa kweli? Siku hizi kuna dna, kawapime tu wote.
Siku zingine ukome kuleata porojo zako kusingizia ni maneno ya Mtume Muhammad Salla Allahu Alayhi Wasalaam.
kwa hio tuna Mungu wawili ?
hahahahahah Mungu wenu ana mtoto hahahahahahaTuna Mungu mmoja aliye baba na ana mwanawe wa Pekee anaitwa Yesu.
Nikuulize mwanao akitumia jina lako ni kosa?
hahahahahah Mungu wenu ana mtoto hahahahahaha
Mambo ya ANU NA KI na watoto Zao kina ENKI,ENLIL, INNANA,UTU,NANA
Huyo Mungu ni wa mchongo Tena yule Elohim /YWH/Jehovah
Ni wa mchongo part two Kwani ana mwanae anaitwa Jesus Christ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]
hujaona hapo Mungu ANU na watoto zake kina ENKI na ENLIL ?Maandiko ya biblia yanasema hivyo ndugu. Kama kuna mungu mwingine ambaye si wa mchongo tuwekee maandiko yake hapa tuyasome
Ulijuaje kuwa yupo kweli na wakati hujamuona hujamsikia na wala hakuna mawasiliano nae? wewe jamaa unashangaza kwa kweli.Mimi naamini Yupo Sijasema Siamini. Na Hakuna Mahala nimesema Siamini kuwa Yupo.
Uislam haukuleta shia wala sunni. Uislam ni Uislam tu, unaingiza u ccm na u chadema kwenye Uislam?Daughter of Mutah nimekwambia kwa maandiko ya Sunni Kaa pembeni ,wajibu wenye maandiko Yao, wewe hayakuhusu
jikite kufanya mutah acha kutokana maandiko ya Sunni na kuyaita uharo na porojo
Hakuna cha upendo hapo, ni ujuha usioelezeka. Hakuna Mungu wa aina hiyo duniani, huyo aliyeandika hayo alikuwa kalewa. Fikiri.Huo ndiyo upendo usioelezeka. Ndiyo maana imeandikwa kwa maana hii Mungu aliupenda ulimwengu. Na hii habari haijaanzishwa na wazungu.
Ujuha huo. Ndio maana mpaka Yesu mnaambiwa ni mzungu mnakubali.Yesu karithi jina la baba yake. Baba yake ni Mungu hivyo Yesu nae ni Mungu.
Hayo maandiko uliyoleta ni ya kipuuzi kama wewe ulivyo. Ukiwa na nia ya kuuongelea Uislam, weka Qur'an, achana huo ujinga wako.Kiswahili kigumu kwako PINGA AYA MAANDIKO
Uislamu ulianza kama dini ndogo na utarudi kuwa dini ndogo
-Muhammad saying, “Islam began as a small religion and will return to the state in which it began. Then blessed will be the few Mishkat al-Masabih 159
Akaongeza Uislam utasinyaa na utarudi Madina kama vile nyoka anarudi kwenye shimo lake
-“Faith will shrink back to Medina as a snake shrinks back to its hole.” (Bukhari and Muslim.) Mishkat al-Masabih 160
Naam. Kapewa Qur'an atufikishie, kaifikisha na ipo mpaka kesho, hakuna anaeweza kuibadili.Ok FaizaFoxy. Je unayoyafanya Wewe sasa Hivi Mtume wako Muhammad aliyafanya. Unavyoabudu wewe mtume wako ndio kakuelekeza Na Alifanya Unayofanya Wewe
Vipi kijana wa "Shikamoo Baba"? Ushamjua yupi mmoja wao?Mutah girl jikite kujibu acha longolongo kama umemaliza mutah mda si mrefu ,
Alie fananishia na waliofananishiwa wakaona na wakaandika walicho ona nani muongo?
Unasema habari haijaanzishwa na Wazungu wakati hata hiyo biblia unayoisoma ni ya "King James"? Fikiri kijana.Huo ndiyo upendo usioelezeka. Ndiyo maana imeandikwa kwa maana hii Mungu aliupenda ulimwengu. Na hii habari haijaanzishwa na wazungu.
Ww una chuki zako tu na Uislamu mbona hujaongelea ukristo ambao unamtukana mpk huyo Mungu wao .Pia unawadhalilisha manabii wa Mungu kua wameziniI thought this topic was a logical question, mara paah nakutana na hadith za kiislamu humo ndani, ndio nikajua kumbe ni muislamu anaejaribu kuukosoa ukristo. Najua musilamu hata umfanyeje atafanya kila awezalo ama aafanya kila jitihada kutokuuelewa ukristo.
Anyway, dini zote ni taasisi za kitapeli, Mungu hayupo wala shetani hayupo. Ni hadithi tu za kutunga.
Ukisoma vitabu vya dini, kwenye uislamu ndio hadithi za Mungu zimefanywa kua za ajabu ajabu zaidi, halafu unaambiwa zilishushwa na Mungu, unajiuliza alieshisha hiki kutabu ama haya maelekezo ndio anaitwa Mungu kweli ama alikua amelewa?
Anyway, ngoja niishie hapo.
Hayo madai ya kwamba Mungu hayupo uhakika wake ni upi ni njia gani wenzetu mnatumia hadi kufikia hilo hitimisho la kusema huyo Mungu hayupo na si vinginevyo? Au ndio kwamba dini kuwa taasisi za kitapeli ndio sababu ya kufanya kudai huyo Mungu hayupo?I thought this topic was a logical question, mara paah nakutana na hadith za kiislamu humo ndani, ndio nikajua kumbe ni muislamu anaejaribu kuukosoa ukristo. Najua musilamu hata umfanyeje atafanya kila awezalo ama aafanya kila jitihada kutokuuelewa ukristo.
Anyway, dini zote ni taasisi za kitapeli, Mungu hayupo wala shetani hayupo. Ni hadithi tu za kutunga.
Ukisoma vitabu vya dini, kwenye uislamu ndio hadithi za Mungu zimefanywa kua za ajabu ajabu zaidi, halafu unaambiwa zilishushwa na Mungu, unajiuliza alieshisha hiki kutabu ama haya maelekezo ndio anaitwa Mungu kweli ama alikua amelewa?
Anyway, ngoja niishie hapo.