Huyu jamaa aliye andika hili bandiko pamoja na kuwa hamuamini Mungu kiivyo ila ni super Genius, sio wa kupuuzwa. Sijasema tucopy paste alicho kiandika ila kuna mafunzo muhimu sanaHili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!
Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.
Yesu ni Mungu.
Na tusijidanganye kuacha kumtafuta Mungu kwa kisingizio kuwa Biblia ilisema "tuache kuchunguza maandiko??? sasa usipo chunguza ukayaelewa maandiko utaelewa nini? au ndio kukrem tu?
Ni sawa na mtu akupe gari uendeshe ila akuambie usichunguze linavyofanya kazi; sasa likipata tu pancha huna cha kufanya nk nk sawa na mtu aliyekrem Biblia ila hajui chochote zaidfi ya kukremu mistari hata hajui kwa nini ililetwa, zama gani, na nini kilikuwa kinaendelea duniani wakati huo kikafanya Mungu alete hiyo mistari nk nk, akiulizwa swali anaruka kwa woga eti tusichunguze!!!!
Tukienda kwa stahili hiyo ya kukremu bila kujua maana; Binadamu ataangamia kwa kukosa maarifa!