Mungu anawaogopa nini Wanadamu mpaka awatolee Sadaka ya Mwanae?

Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!

Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.

Yesu ni Mungu.
Huyu jamaa aliye andika hili bandiko pamoja na kuwa hamuamini Mungu kiivyo ila ni super Genius, sio wa kupuuzwa. Sijasema tucopy paste alicho kiandika ila kuna mafunzo muhimu sana
Na tusijidanganye kuacha kumtafuta Mungu kwa kisingizio kuwa Biblia ilisema "tuache kuchunguza maandiko??? sasa usipo chunguza ukayaelewa maandiko utaelewa nini? au ndio kukrem tu?
Ni sawa na mtu akupe gari uendeshe ila akuambie usichunguze linavyofanya kazi; sasa likipata tu pancha huna cha kufanya nk nk sawa na mtu aliyekrem Biblia ila hajui chochote zaidfi ya kukremu mistari hata hajui kwa nini ililetwa, zama gani, na nini kilikuwa kinaendelea duniani wakati huo kikafanya Mungu alete hiyo mistari nk nk, akiulizwa swali anaruka kwa woga eti tusichunguze!!!!
Tukienda kwa stahili hiyo ya kukremu bila kujua maana; Binadamu ataangamia kwa kukosa maarifa!
 
Hoja fupi. Imeshiba.

Salute
 
Hili andiko lako Mungu alishatoa jibu kwamba "msichunguze maandiko maana mnatafuta ubatili"!

Mungu alijua upo na utachunguza lutafuta makosa tuu Wala hutafuti usahihi.

Yesu ni Mungu.
Wateuzi wa nin kiandikwe au kisiandikwe katika vitabu vile VINAVYOMUHUSU MUNGU ndio waliandika na sio Mungu
 
Waislam tunaamini Yesu hakuuliwa wala hakusulubiwa.

Mungu hazai wala kuzaliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…