GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ushaoa au unatupanga?Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Na watoto nani atawalea..
Si ndipo chanzo cha watoto kuwa na maisha magumu, kudhulimiwa mali na ndugu na hata kuteseka...
Ni vyema mama abaki kuwalea...
RahaUtoto
Hapo watoto hawana mawazo.Baba ameshika mavyeo makubwa kitambo,, alikuwa hadi CEO wa NBC Bank , serikalini napo mavyeo makubwa makubwa kitambo..
Uwekezaji aliowaachia hawawezi kuwa na maisha magumu kabisa
Wapi Mzitoo Kabwela mzee wa kupambania wajane. Ulituwakilisha vema kwa Deo Filikunjombe na kwingineko. Haya sasa unaitiwa JLO wa Bunju kaaachwa huku na kijana wa Kanda Maalum
Bila picha huu uzi hauna mana kabisa hutuwez kufanya imagination mkuuMwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Karibia naipata namba yake kwani nataka kuangalia uwezekano wa Kujiweka kwani kila nikimwona naona nampenda tu.soon atakuwa mshangazi wa vijana wa mjini.. watapakuwa tu
Mkuu, watoto wa Hans Pope siku si nyingi si walisikika ''wakibweka'' kuwa wamekosa hata ada pamoja na kuwa mzee wao aliacha ukwasi wa kutakata? Sasa nini kinachotupa hakika ya hawa wa mzee huyu ''kutokubweka'' siku moja?Baba ameshika mavyeo makubwa kitambo,, alikuwa hadi CEO wa NBC Bank , serikalini napo mavyeo makubwa makubwa kitambo..
Uwekezaji aliowaachia hawawezi kuwa na maisha magumu kabisa
Hakuna Malaika anaitwa Israel. Israel ni jina alipewa Yakobo na akabarikiwa na hatimaye kupewa nchi na sasa tunaiona hiyo nchibya IsraelMwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Aliyeupata Utajiri wake kutoka kwa Binti ya Marehemu Mbunge na Wakili maarufu Nimrod Mkono aitwae Leah Mkono?Kuna wanaume kazi yao ni kuwinda wajane mambo safii tu.
Kama huyo uliyemtaja yeye huwa anadili na wanawake wenye mahela tu
Tafuta hela mkuuMwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
K / Mbunye yake utaondoka nayo Mbinguni au?