Mungu angekuwa anauliza wakati wa kututwaa, mimi ningependa kutwaliwa pamoja na mke wangu

Mungu angekuwa anauliza wakati wa kututwaa, mimi ningependa kutwaliwa pamoja na mke wangu

Hawa viumbe siku zote ili uishi vizuri unatakiwa uwe mbinafsi(ni watu hatari kuzidi nyoka) kwa hiyo usiwe naye peke yake yaani aishi maisha ya wasiwasi kama sio talaka basi kupandishwa cheo ndo itakaa sawa huku ukimzalisha mara kwa mara bata mara chache.
Wakati mwingine Waislamu wako sahihi kwa swala hili mke akileta jeuri anapandishwa cheo anaitwa mke mkubwa na kuna kuwa na mke mdogo, mdogo akileta jeuri cheo kinapanda tena yule wa kwanza anaitwa mke wa kwanza wa pili anaitwa mkewa ta pili na anakuja mke wa tatu. wengi wanaishia hapa na husikii pressure za ujana zinawasumbua au sukari.
Yaan ukae uwasikie tu kwa wengine lakini hakuna narudia hakuna Mwanamke asiechapwa huko nje na ameolewa uzuri mifano ni mingi na mingine ipo wazi tu inayowakuta hata watu wenye umaarufu pamoja na umaarufu wao ila wanawake wanawapigisha chafya kwa kwenda kupigwa nje na wakati wana Ndoa zao, ipo wazi akili kichwani
 
Wanawake akili zao wanazijua wenyewe, kuna mmoja ameolewa Ndoa haijafika hadi miezi 2 wametibuana na jamaa yake akawa anataka kumtoroka jamaa aende kwao kisa tu ni kwamba Mwanamke alikua na kajamaa kengine ka nje kajeba ambako hadi leo wana mahusiano sijui walisoma wote akawa anakabandua tangu wakiwa shule basi alichofanya Mwanamke ile namba ya jamaa kaisevu Jina la kike 'Kurwa'

Sasa jamaa akaanza kufuatiliia mawasiliano ya mkewe akagundua huyu 'Kurwa' ndie anaewasiliana na mke mara kwa mara tena jamaa akiwa mkoani kikazi Mwanamke anakua huru sana kuvinjari na huyo 'Kurwa' sasa kwenye pekua pekua za hapa na pale akanasa meseji zenye utata ila Mwanamke anasema huyo 'Kurwa' ni rafiki yake wa kike

Nilipombana Mimi ndio akafunguka kwamba huyo 'Kurwa' ni kajamaa kake kapembeni ugomvi ukawa mkubwa aliekuja kuamulia na kuwaweka sawa ni mtoto wa Mjomba wake na jamaa ambae jamaa anakuheshimu sana basi Mwanamke akatubu pale jamaa akapotezea ila kajamaa bado kapo tu kanamfuata mke wa jamaa na bado kanamtafuna, Wanawake akili zao wanazijua wenyewe
Jamaa aachane na huyo mwanamke hampendi, jamaa ataumia mbeleni kufosi mahusiano...

Na wanawake walivyo jamaa akimuacha hako kajamaa kamkimbia pia, kanamla kwa sababu anatunzwa na mwingine.. hii mikasa ipo mingi...

Kaka huwezi kuamini, wanawake baadhi yao wanakuwa na nyege sana wanapoelekea umri wa kukoma kutoa mayai menopause sijui wanaita hivyo wataalamu...

Mmama mtu mzima anakuwa anapata nyege kali na hapo ndipo vijana wadogo miaka 25 hadi 30s wanaanza kumla mwanamke ana miaka 45 au 50...

Ndio hao vijana wanakumbia mishangazi... Na wanawala sana, unakuta mwanamke ana watoto wakubwa na wajukuu analiwa na kitoto cha 2000s 🤣🤣🤣,

Haya maisha...
 
Hata sasa watu wanatomb3 w tena Kwa wanatomb3 w wakiwa hai mpk mtomb7 j anaomba amrudie Muumba mana anaona ni ubatili. Sembuse ukifa
Tafuta hela
 
Jamaa aachane na huyo mwanamke hampendi, jamaa ataumia mbeleni kufosi mahusiano...

Na wanawake walivyo jamaa akimuacha hako kajamaa kamkimbia pia, kanamla kwa sababu anatunzwa na mwingine.. hii mikasa ipo mingi...

Kaka huwezi kuamini, wanawake baadhi yao wanakuwa na nyege sana wanapoelekea umri wa kukoma kutoa mayai menopause sijui wanaita hivyo wataalamu...

Mmama mtu mzima anakuwa anapata nyege kali na hapo ndipo vijana wadogo miaka 25 hadi 30s wanaanza kumla mwanamke ana miaka 45 au 50...

Ndio hao vijana wanakumbia mishangazi... Na wanawala sana, unakuta mwanamke ana watoto wakubwa na wajukuu analiwa na kitoto cha 2000s 🤣🤣🤣,

Haya maisha...
Ukikubari kuoa kubariana na yote maana hayo hayakwepeki hata uwe nani, ukirudia mfano mdogo tu kwenye Biblia kuna ka Bwana Mdogo kalikua kanaitwa Yusuphu huyu Yusuphu alitupwa na ndugu zake kwenye shimo huku na huku mmoja akamuonea huruma akauzwa kwa Wamisri alipokua Misri kwa kujua kwake kutafsiri Ndoto akapata kuajiriwa kwenye Jumba la mmoja wa mtumishi wa Firauni alikua anaitwa 'Potifa' ambae huyo 'Potifa' alikua na mkewe basi mke wa 'Potifa' akaanza kumletea mitego Yusuphu akitaka abanduliwe na Yusuphu huku na huku Yusuphu akagoma kwamba hataki hizo habari za kumbandua mke wa Potifa (lishangazi) yule Mwanamke akamwambia km hataki basi atamuonyesha yeye ni nani siku ya siku akajiweka mbele yake akachana chana nguo zake mwenyewe mbele ya Yusuphu akawa mtupu yaani uchi kisha akasingizia kua amebakwa na Yusuphu, Yusuphu akadakwa akatiwa ndani tayari kusikilizwa kesi yake ila Potifa alipomuhoji vizuri Yusuphu akagundua ule ulikua mchezo wa mkewe Yusuphu hakua na makosa

Akili zao wanazijua wenyewe
 
Hio ni asili yao...
Hio ndio maana ya ndoa....

Mi nilimsikia dada mmoja, anaongea wazi kabisa mmewe alikuwa ametoka, jamaa ana maisha mazuri tu, na wana miradi mikubwa na mkewe...

Yule mwanamke alizema "kuna muda unajihisi kubadili mwanaume" alikuwa anaongea na wenzake akiwepo mdogo wake....
 
Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Wakati huo mkeo naye akiulizwa atatoa majibu haya?
 
Mwenyezi Mungu angekuwa anatuuliza akitaka kutuchukua rasmi kutoka duniani tunataka nini GENTAMYCINE jibu langu la haraka sana Kwake lingekuwa naomba akimtuma Israeli Mtoa Roho kunitwaa rasmi niondoke / anitwae pia na Mpenzi wangu au Mchumba wangu au Mke wangu Mrembo kuliko Wanawake wote duniani kwani akiondoka na Mimi peke yangu Wanaume wengine watafaidi / watajifaidia sana.
Naunga mkono hoja Kwa 500%

Tunapofunga ndoa tunaambiwa Sasa mmekuwa mwili mmoja inakuwaje napokufa anabaki Tena. Hakika sio sawa kabisa mke kubaki analiwa kama ndege wanavyokula matunda juu ya mti.

Umewaza kimbingu zaidi na hivi ndivyo inapaswa iwe. 📌 📍
 
Back
Top Bottom